JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Wanaharakati Afrika wakutana  Dakar kuizungumzia Palestina

Na Nizar K Visram (Canada) Machi 10 hadi 12, mwaka huu wanaharakati kutoka nchi za Afrika wamekutana Dakar, Senegal.  Hawa ni wawakilishi wa makundi kutoka Botswana, Cameroon, Cote d’Ivoire, DR Congo, Gambia, Ghana, Guinea-Bissau, Mauritania, Morocco, Msumbiji, Namibia, Tunisia,  Zambia,…

Magufuli: Kiongozi mpenda maendeleo makubwa

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Mwaka 1995 Dk. John Pombe Magufuli aliamua kuingia katika duru za siasa na kugombea ubunge Jimbo la Biharamulo Mashariki mkoani Kagera. Agosti 23, 1995, Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ilitangaza majina…

Serikali, TFS kuzibadili nyanda kame

*Profesa Silayo apania kurejesha uoto wa asili Kanda ya Ziwa, huku akiifanya Dodoma kuwa ya kijani MAGU Na Joe Beda Wakala wa Huduma za Misitu nchini (TFS) umedhamiria kurejesha uoto katika maeneo ya nyanda kame (dry land areas) nchini, ikiwa…

Rais apokee hizi sifa kwa hadhari 

Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa ziarani mkoani Mara hivi karibuni, miongoni mwa mambo aliyozungumza kwa mkazo ni suala la sifa anazomiminiwa. Kwa maneno yake mwenyewe alisema hapendi kusifiwa yeye binafsi, bali sifa hizo ziende kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho…

Ewura ilivyojipanga kutatua kero huduma ya maji 2025

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita Tanzania iliungana na dunia kuadhimisha Wiki ya Maji ambapo maadhimisho hayo yalifanyika Mkoa wa Pwani kwa uzinduzi wa mradi wa maji Mlandizi – Mboga – Chalinze huko Msoga na baadaye kitaifa Dar…

Mheshimiwa Rais tuwekeze zaidi vijijini 

DAR ES SALAAM NA DK. FELICIAN B. KILAHAMA  Ni jambo la kumshukuru Mungu aliye muweza wa yote kwa kutujalia uhai na afya njema baada ya kutimiza mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.  Akiwa Makamu wa Rais, aliapishwa…