Category: Makala
Umuhimu wa wagombea huru sasa umedhihiri
Kama unahitajika ushahidi kuwa upo umuhimu wa kuruhusiwa kwa wagombea huru ndani ya Katiba ya Tanzania, basi umejitokeza sasa baada ya matukio ya hivi karibuni yaliyomo ndani ya siasa za Tanzania. Tukio lililohitimisha ukweli huo ushahidi ni kuhama kwa Waziri…
Mjasiriamali na uhakika wa kesho
Mara nyingi ninapochambua masuala haya ya biashara na uchumi huwa ninakwama kupata maneno yaliyozoeleka katika Kiswahili ili kuelezea dhana fulani fulani. Hii haimaanishi kuwa Kiswahili hakina maneno hayo, la hasha! Isipokuwa kutumia maneno hayo kunaweza kuwapoteza wengi na kutoeleweka kirahisi….
Lowassa: Anayejua Richmond Kikwete
.Wasaidizi wake wasema “Mzee sasa ana amani” NA WAANDISHI WETU Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa, kwa mara ya kwanza amemtaja Rais Jakaya Kikwete ndiye anayefahamu kwa kina mkataba wa Kampuni ya Richmond uliosababisha nchi kupata hasara ya mamilioni. Lowassa anasema,…
Wilaya, majimbo si suluhu ya matatizo
Namshuruku Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia afya njema na amani. Ni vyema tukamshukuru Mungu kila wakati kwa sababu tunaendelea kuyashuhudia mapenzi yake mema kwetu. Pili, niombe radhi kwa sababu lugha ya Kiswahili ni ngumu, hivyo katika kuandika inawezekana nikakosea hapa na…
Haki ya Mtanzania inapogeuzwa anasa
Katika kipindi cha miaka kadhaa sasa, Watanzania wengi wanaishi kwa manung’uniko yanayotokana na kukosa haki zao za msingi huku waliopatiwa jukumu hilo wakiwabeza. Tumeshuhudia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) iliporatibu upatikanaji wa vitambulisho hivyo, huku wananchi wengi wakishindwa kuvipata….
Vyombo vya habari ni UKAWA?
Mwanzoni mwa wiki iliyopita nilikuwa miongoni mwa watu waliojitokeza kuitumia haki yao ya msingi ya kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kwa mfumo wa kielektroniki (BVR), lakini kutokana na vituko vinavyoendelea haikuwezekana kuandikishwa. Kituo nilichokuwa nimepewa namba ya kuandikishwa…