JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

‘Tuchagulieni kiongozi safi’

Wiki iliyopita nilizungumzia juu ya maana na sababu za kutaka mabadiliko. Hivi sasa Watanzania na hasa vijana wanataka sana mabadiliko na huku wakinukuu sehemu tu ya hotuba ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyoitoa kwa wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu…

Tujiandae kujenga jela mpya

Nimewahi kuandika kwenye safu hii kuhusu hitilafu ambazo nimeziona kwenye Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015. Zipo taarifa kuwa sheria hii sasa itaanza kutumika Septemba mosi, mwaka huu. Kama unayo hofu niliyonayo mimi utakubaliana nami kuwa wapo watu wengi wataathirika…

Ikitokea umekufa leo, biashara zako unaziachaje?

Nianze kwa habari njema. Nimeandika kitabu cha pili kiitwacho ‘Kufanikiwa ni haki yako.’ Ni kitabu ambacho kimebeba maarifa, visa vya kusisimua na mikasa kuhusu safari za maisha ya mafanikio ya watu mbalimbali waliofanikiwa duniani.  Kwa mfano, katika kitabu hiki ninakuletea…

Nani amemuua bosi huyu Polisi?

Maswali mengi yameibuka kuhusu kifo cha Mkuu wa Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Ujambazi Mkoa wa Morogoro, Mrakibu wa Polisi (ASP), Elibariki Pallangyo (53). JAMHURI imedokezwa kwamba kifo cha bosi huyo kimezua maswali mengi kutokana na mazingira ya namna…

Umamluki katika siasa

Neno mamluki limekuwa linatumika zaidi kwa askari wa kukodishwa hapa ulimwenguni. Wakati Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasherehekea mwaka wake wa tano tangu kuasisiwa kwake  Septemba 1, 1969, Amiri Jeshi Mkuu, Mwalimu Julius Nyerere, alitamka neno “MERCENARY”…

UTAFITI: Vyuo vikuu kuna ‘mateja’

Matokeo ya utafiti uliofanywa na Tume ya Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini (DCC), umebaini kwamba wanafunzi wa vyuo vikuu hasa vya Dodoma pamoja na baadhi ya askari polisi wa mkoa huo, wamekuwa watumiaji wakubwa wa dawa hizo. Mtaalamu kutoka DCC…