Category: Makala
Dosari mojawapo Mkutano Mkuu wa CCM
Na Joe Beda Rupia Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umefanyika jijini Dodoma wiki iliyopita. Ndiyo. Hili ni miongoni mwa matukio ambayo sisi wana habari hulazimika kuyafuatilia. Ni tukio kubwa nchini kwa kuwa hukusanya watu kutoka kila pembe…
Upekee wa mwezi wa Ramadhani na fadhila zake
Leo Jumanne Aprili 05, 2022, ni tarehe 3 Ramadhani (Mwezi wa 9 kwa Kalenda ya Kiislamu inayoanza Mwezi Muharram – Mfungo Nne) Mwaka 1443 Hijiriyya (toka kuhama kwa Mtume Muhammad –Allah Amrehemu na Ampe Amani – kutoka Makkah kwenda Madinah), kwa…
Aibu hii Katavi ni ya kudumu?
KATAVI Na Walter Mguluchuma Ajenda ya ajira kwa watoto imekuwa ikisumbua vichwa vya wengi duniani na mara kwa mara hujadiliwa kwenye vikao vizito vya kitaifa na kimataifa. Umoja wa Mataifa (UN) unapinga ajira kwa watoto na ipo mikataba na makubaliano…
Kigugumizi cha nini Katiba mpya?
MOROGORO Na Everest Mnyele Wakati mwingine huwa ninajiuliza, nini sababu ya kigugumizi kwa Watanzania, hasa viongozi kuhusu Katiba mpya wakati rasimu tunayo? Rasimu hiyo imetokana na mawazo au maoni ya wananchi yaliyokusanywa na Tume ya Warioba iliyoteuliwa na Rais wa…
Utaratibu wa kisheria kununua ardhi bila migogoro, utapeli
Na Bashir Yakub Tunazo aina kuu mbili za ardhi. Ardhi iliyosajiliwa na ambayo haikusajiliwa. Yote maana yake ni viwanja, nyumba na au mashamba. Ardhi iliyosajiliwa ni ile iliyopimwa au maarufu kama ardhi yenye hatimiliki, wakati ambayo haikusajiliwa ni kinyume cha…
Mwelekeo mpya siasa wanukia
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mapendekezo ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa huenda yakafanikisha kuleta mwelekeo mpya wa mwenendo wa siasa za hapa nchini. Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan…