JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Bandari ya Dar es Salaam  yaweka historia mpya

*Meli kubwa yatia nanga   ikiwa imebeba magari 4,041 DAR ES SALAAM Na Mwandishi Maalumu Bandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi yake baada ya wiki iliyopita kupokea meli kubwa zaidi kuwahi kufika, pia ikiwa ni ya kwanza yenye mzigo mkubwa…

Binti aboresha kitimwendo kuwasaidia walemavu

*Sasa kitawawezesha kufanya kazi za mikono, mazoezi kwa urahisi *Agizo la Serikali kwa TIRDO, SIDO kushirikiana naye lapuuzwa Dar es Salaam Na Alex Kazenga  Binti wa Kitanzania, Joan Mohamed (24), ameibuka na ubunifu wa aina yake utakaokifanya kitimwendo (wheelchair) kuwa…

UJUMBE WA KWARESMA – (5) Papa Francis na ‘uongofu wa mazingira’

Jumapili ya wiki hii ni Sikukuu ya Kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo; yaani Pasaka. Kwa maana hiyo leo tunawaletea sehemu ya mwisho ya mfululizo wa Ujumbe wa Kwaresma kwa mwaka 2022 kama ulivyoandaliwa na Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC). SURA…

Laylatul Qadri ni siku bora katika Uislamu

Jumanne ya leo Aprili 12, 2022  ni siku ya kumi tangu kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Tunamuomba Allaah Mtukufu Azikubali Swaumu zetu. Makala yetu leo inakusudia kuiangazia siku ndani ya Mwezi wa Ramadhani iitwayo ‘Laylatul Qadri’ (Usiku wa Cheo)…

Katiba thabiti huleta ustawi, furaha ya kweli

MOROGORO Na Everest Mnyele Tumekwisha kuzungumzia kwa ujumla nini maana ya katiba thabiti na inapaswa kuwa vipi. Leo tutazame umuhimu wake kwa uchumi, ustawi na furaha ya kweli kwa wananchi; furaha (ya kweli) ikiwa ndicho kipimo cha juu kabisa cha…

Rais Mwinyi kutembelea Kojani Pemba

*Aagiza Wakojani wawezeshwe  mitumbwi Uchumi wa Buluu *Ni Kisiwa chenye skuli ambayo  wanafunzi wanasoma kompyuta ZANZIBAR Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema atakitembelea Kisiwa cha Kojani, Pemba baada ya…