JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Biashara bila hofu ya Urusi, Ukraine

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Watu wengi husita au hushindwa kuingia katika biashara wakitishwa na hatua zinazofahamika katika kuanzisha biashara husika, mbali na hofu iliyozuka kwa sasa ya vita kati ya Urusi na Ukraine. Hatua hizo ambazo ni sawa…

Ijue tofauti ya wakili, mwanasheria

Na Bashir Yakub Kila wakili ni mwanasheria, lakini si kila mwanasheria ni wakili.  Wakili ni zaidi ya mwanasheria. Ili uwe wakili unaanza kuwa mwanasheria.  Mwanasheria ni mtu yeyote aliyesoma kozi ya sheria katika chuo kinachotambulika na kuhitimu, kufaulu na kupata…

Umuhimu demokrasia vyama vingi kwa maendeleo ya taifa

MOROGORO Na Everest Mnyele Mfumo wa siasa wa demokrasia ya vyama vingi ni mfumo uliozoeleka kwa nchi za Magharibi hata kabla ya kuja kututawala. Kwetu Waafrika, mfumo huu ulikuwapo tangu siku nyingi ukijulikana kama koo, makabila n.k. kwa kila moja…

BEI YA MAFUTA Kauli ya Shabiby yazua mjadala

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Kauli iliyotolewa bungeni jijini Dodoma wiki iliyopita kuhusu kutaka kutazamwa upya kwa utaratibu wa uagizaji wa mafuta ili kuleta ushindani sokoni, imepokewa kwa mitazamo tofauti. Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu,…

MIAKA 100… Utu wa Mwalimu Nyerere unaendelea kung’ara

DAR ES SALAAM Na Anna Julia Chiduo – Mwansasu Watanzania tumeamua kuadhimisha kwa kishindo miaka 100 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.  Ni dhahiri zipo sababu za uamuzi huu na zipo sababu za Mwalimu Nyerere kuendelea…

MIAKA 100 MWALIMU NYERERE Nini cha kukumbuka?

DAR ES SALAAM Na Dk. Felician Kilahama  Nichukue fursa hii kwanza kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mambo mengi anayotutendea siku hata siku, ikiwa ni pamoja na zawadi ya uhai; hivyo kila mwenye pumzi na amsifu Mungu.  Tunapomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu…