JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Sekta ya viwanda na uwekezaji yapaa Pwani

*Mkoa waweka alama kujibu kwa vitendo katika sekta ya viwanda *Kati ya viwanda 1,535, viwanda 131 vimejengwa kipindi cha Rais Dk Samia Na Mwamvua Mwinyi, JakhuriMedia, Pwani AJENDA ya kuleta Mapinduzi kwenye sekta ya Viwanda nchini, inazidi kushika kasi ambapo…

Afya kwa vijana ilivyopunguza magonjwa ya ngono Morogoro

Na Irene Mark, JamhuriMedia, Morogoro “UKISIKIA Mzazi anamwambia kijana wake ‘mleke huyo kokudanila’ hicho ni Kiluguru maana yake mwache huyo anakudanganya, hapo Mtoa Huduma za Afya ngazi ya Jamii sina cha kumwambia huyo kijana akanielewa. …Na hiyo ilikuwa sababu ya…

UDSM, OSLO ilivyodhamiria kupunguza mtanziko katika utoaji huduma za afya nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya KATIKA mfumo wa afya wa Tanzania, watoa huduma za afya wanakutana na changamoto nyingi za kimaadili wakati wa kufanya maamuzi ya kutibu wagonjwa. Changamoto hizi, ambazo mara nyingi huleta mitanziko (dilemma), zinaweza kusababisha vifo kwa…

Tanzania mfano wa kuendeleza wachimbaji wadogo

Na Wizara ya Madini  Sekta ya Madini ni moja ya nguzo muhimu za uchumi wa Tanzania. Pamoja na mchango mkubwa unaotolewa na Migodi mikubwa inayomilikiwa na Kampuni za ndani na nje ya Taifa sambamba na zile za ubia baina ya…

Kiswahili kiwe lugha rasmi ya saba ya Umoja wa Mataifa

Na Richard Mtambi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Maadhimisho ya Tatu ya Siku ya Kiswahili Duniani 2024, yalifanyika Julai 3, 2024 nchini Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na duniani kote lugha ya Kiswahili inakozungumzwa. Lengo la Maadhimisho haya ni kuitikia wito wa…

Mraibu aanzisha asasi kuikomboa jamii dhidi ya dawa za kulevya

*Said ni aliyekuwa mraibu kwa miaka 21. * Amgeukia Rais Samia, Wizara ya Afya na Ofisi ya Waziri Mkuu kuzishika mkono asasi changa ili kuokoa waraibu hasa vijana Na Mwamvua Mwinyi, JakhuriMwdia, Pwani NACHUKIA dawa za kulevya, najutia kupoteza muda…