Category: Makala
Yahya Jammeh: Dikteta wa Gambia aliyepora mabilioni
Na Nizar K Visram Mahakama ya Marekani imeamuru kuwa jengo lenye thamani ya dola milioni 3.5 lililo karibu na Washington lichukuliwe kutoka kwa Yahya Jammeh, aliyekuwa Rais wa Gambia. Uamuzi huu wa Mei 24, mwaka huu ni baada ya kudhihirika…
Kosa la Lissu, Kosa la Maalim Seif
LONDON Na Ezekiel Kamwaga Samuel Huntington, pengine mchambuzi mahiri zaidi wa siasa za Marekani katika karne iliyopita, alipata kuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu mashuhuri cha Harvard nchini humo. Mmoja wa wanafunzi wake alikuwa Fareed Zakaria na anakumbuka somo moja kubwa…
Unachukuaje fedha zilizoachwa na marehemu kwenye simu?
Na Bashir Yakub Leo tunaangalia namna ya kufanya ili uweze kuchukua fedha zilizoachwa kwenye akaunti ya simu na ndugu yako aliyefariki dunia; jinsi ya kufahamu iwapo ameacha fedha kwenye simu au hakuacha, hasa kama haujui namba yake ya siri ya akaunti…
‘Serikali imedhamiria kuungana na sekta binafsi’
DAR ES SALAAM Na Jackson Kulinga Siku moja kabla ya kufanyika mkutano wa 13 wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC), Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Paul Makanza, alizungumzia kuridhishwa kwake na umakini wa serikali katika kutekeleza maazimio…
Tulinde rasilimali za nchi yetu kwa wivu mkubwa
Septemba 1961, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, alitoa ilani iliyokuja kujulikana kama Ilani ya Arusha kuhusu uhifadhi. Alisema: “Kudumisha uhai wa wanyamapori wetu ni suala linalotuhusu sana sisi sote katika Afrika. Viumbe hawa wa porini pamoja na mapori wanamoishi siyo tu kwamba…
SSP Eva Stesheni: Askari mlinzi wa amani Darfur
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Kwamba amani ni muhimu katika maisha ya kila siku ya binadamu ni suala lisilokuwa na ubishi. Amani ni nguzo ya maendeleo. Bila amani hakuna shughuli zozote za kijamii zinazoweza kufanyika. Bila amani maisha ni…