Category: Makala
Tulinde rasilimali za nchi yetu kwa wivu mkubwa
Septemba 1961, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, alitoa ilani iliyokuja kujulikana kama Ilani ya Arusha kuhusu uhifadhi. Alisema: “Kudumisha uhai wa wanyamapori wetu ni suala linalotuhusu sana sisi sote katika Afrika. Viumbe hawa wa porini pamoja na mapori wanamoishi siyo tu kwamba…
SSP Eva Stesheni: Askari mlinzi wa amani Darfur
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Kwamba amani ni muhimu katika maisha ya kila siku ya binadamu ni suala lisilokuwa na ubishi. Amani ni nguzo ya maendeleo. Bila amani hakuna shughuli zozote za kijamii zinazoweza kufanyika. Bila amani maisha ni…
Israel yashitakiwa kwa mauaji ya wanahabari
Na Nizar K Visram Shireen Abu Aqleh alikuwa mwanahabari wa Kipalestina aliyeajiriwa na Shirika la Utangazaji la Al Jazeera hadi Mei 11, 2022 alipopigwa risasi na kuuawa na wanajeshi wa Israel. Aliuawa akiwa kazini akiripoti habari za wanajeshi hao kuvamia…
Lipumba na tuzo ya Mo Ibrahim kwa Rais Samia
MOROGORO Na Everest Mnyele Tuzo ya Mo Ibrahim ilianzishwa mwaka 2007 na bilionea wa Sudan, Mohamed ‘Mo’ Ibrahim, kupitia taasisi yake kwa madhumuni ya kuwatuza viongozi wa Afrika, hasa marais na wakuu wa serikali walioonyesha uongozi uliotukuka katika nchi zao. …
Polisi wanatumia vibaya kosa la kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu
Na Bashir Yakub Yapo mambo ambayo kwa mujibu wa sheria si kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Hata hivyo polisi kwenye vituo vyao wamekuwa wakilazimisha mambo hayo kuwa kosa hilo la kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kwa sababu wanazozijua wao, mojawapo…
Ni kilimo cha ‘kufa’ tu au ‘kufa na kupona’?
Na Joe Beda Rupia Nimewahi kuhoji katika safu hii miezi kadhaa iliyopita iwapo kilimo bado ni uti wa mgongo wa taifa letu. Hakukuwa na majibu ya moja kwa moja. Kilimo. Kilimo. Kilimo. Kimekuwa kikiambatana na kaulimbiu mbalimbali, lakini kwa hakika…