Category: Makala
MOI: Watengeneza mkono wa umeme
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Katika mwili kiungo ni kitu muhimu kwa maisha ya mwanadamu, ndiyo maana hata kimoja kikitetereka mtu hawezi kufanya kazi zake ipasavyo. Tunaona namna gani wanasayansi duniani kote wanavyohangaika kubuni mbinu mbalimbali ili kutatua changamoto…
Kishindo miaka 41 ya SUMA JKT
Na Alex Kazenga Dar es Salaam Julai Mosi, 2022 Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) litatimiza miaka 41 ya kuasisiwa kwake huku likipania kutumia uzoefu wake kutanua shughuli zake hadi nje ya nchi. Linakusudia kutumia…
Yahya Jammeh: Dikteta wa Gambia aliyepora mabilioni
Na Nizar K Visram Mahakama ya Marekani imeamuru kuwa jengo lenye thamani ya dola milioni 3.5 lililo karibu na Washington lichukuliwe kutoka kwa Yahya Jammeh, aliyekuwa Rais wa Gambia. Uamuzi huu wa Mei 24, mwaka huu ni baada ya kudhihirika…
Kosa la Lissu, Kosa la Maalim Seif
LONDON Na Ezekiel Kamwaga Samuel Huntington, pengine mchambuzi mahiri zaidi wa siasa za Marekani katika karne iliyopita, alipata kuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu mashuhuri cha Harvard nchini humo. Mmoja wa wanafunzi wake alikuwa Fareed Zakaria na anakumbuka somo moja kubwa…
Unachukuaje fedha zilizoachwa na marehemu kwenye simu?
Na Bashir Yakub Leo tunaangalia namna ya kufanya ili uweze kuchukua fedha zilizoachwa kwenye akaunti ya simu na ndugu yako aliyefariki dunia; jinsi ya kufahamu iwapo ameacha fedha kwenye simu au hakuacha, hasa kama haujui namba yake ya siri ya akaunti…
‘Serikali imedhamiria kuungana na sekta binafsi’
DAR ES SALAAM Na Jackson Kulinga Siku moja kabla ya kufanyika mkutano wa 13 wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC), Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Paul Makanza, alizungumzia kuridhishwa kwake na umakini wa serikali katika kutekeleza maazimio…