Category: Makala
Tuzungumze, tujenge nchi pamoja
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Wakati wa harakati za kudai uhuru, viongozi wa Kiafrika waliwaunganisha wananchi kwa kuanzisha vyama vya siasa, pamoja na mambo mengine vyama hivyo vilianzishwa kwa madhumuni ya kutafuta umoja ambao ulikuwa ni silaha namba…
Urais, kizazi cha dhahabu cha Arusha
LONDON Na Ezekiel Kamwaga Mwanzoni mwa miaka ya 1980, mmoja wa maofisa wa ngazi za juu wa Serikali ya Tanzania alipata safari ya kwenda nchini Yugoslavia kikazi. Siku moja kabla hajaondoka, akaitwa Ikulu na aliyekuwa Rais wakati huo, Mwalimu Julius…
Uingereza lawamani ‘kuuza’ wakimbizi Rwanda
Na Nizar K Visram Maili 80 kutoka jijini London, Uingereza, ndege aina ya Boeing 767 ilikuwa inasubiri katika uwanja wa kijeshi wa Boscombe Down kuwachukua wakimbizi na kuwahamishia Rwanda bila ridhaa yao. Hawa walitoka nchi mbalimbali kama Afghanistan, Iran, Iraq,…
Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu
Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Mimi ni miongoni mwa Watanzania wengi waliokupongeza kwa kuteuliwa kwa mara nyingine kuwa waziri mkuu baada ya msiba mzito wa Rais wetu mpendwa, Dk. John Magufuli, Machi mwaka jana. Hii haikuwa bahati tu kuendelea kuwa kiongozi…
Rais anavyofungua milango ya uwekezaji
Dar es Salaam Na Mwalimu Samson Sombi Maendeleo makubwa ya nchi pamoja na mambo mengine hutokana na maono na msimamo wa kiongozi mkuu wa nchi. Aidha, maendeleo ya nchi huwa na hatua kuu nne ambazo ni mipango, mikakati ya utekelezaji…
Kuhusu kesi ya kina Mdee kutupwa
Na Bashir Yakub Maombi au kesi inaweza kutupwa na mahakama kwa namna moja kati ya mbili. Inaweza kutupwa katika namna ambayo huwezi kuirudisha tena/kuifungua upya, au inaweza kutupwa katika namna ambayo unaweza kuirudisha tena/kuifungua upya. Kutupwa katika namna ambayo unaweza kuirudisha…