Category: Makala
MOI wafanya upasuaji wa kibingwa kwa wagonjwa 7113
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kipindi cha mwaka mmoja imefanikiwa kufanyia upasuaji wa kibingwa wagonjwa 7113 wa tiba ya mifupa ikiwa ni idadi kubwa ukilinganisha na wagonjwa 6793 katika mwaka uliopita huku wagonjwa wa…
Daraja JP Magufuli la sita kwa urefu Afrika
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Mwanza Daraja la JP Magufuli linalojengwa Mwanza na kuziunganisha wilaya za Misungwi na Sengerema kupitia Ziwa Victoria linatarajiwa kuwa refu kuliko yote Afrika Mashariki na Kati na la sita kwa urefu barani Afrika kwa takwimu za sasa….
Kinana:Demokrasia imechangia CCM kukaa madarakani muda mrefu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Katavi Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrhman Kinana ametaja sababu tatu za kwanini Chama hicho kimekaa madarakani kwa muda mrefu na moja ya sababu ni uwepo wa demokrasia ya uhuru watu kujieleza na kutoa maoni yao….
Hifadhi ya Ngorongoro itadumu?
DAR ES SALAAM NA THEONESTINA KAIZA-BOSHE Katika makala iliyopita nilizungumzia mazuri, shutuma na ya kujifunza kuhusu hatua ya serikali kuhamisha Wamasai kwa hiari kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCA) kwenda Kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga. Nikaipongeza kwa tukio…
Wakazi Kwembe walilia fidia kupisha ujenzi wa MUHAS
Sisi zaidi ya wakazi 2,500 wa maeneo ya Kwembe Kati, King’azi, Kisopwa na Mloganzila katika Kata ya Kwembe tunakuomba Rais Samia Suluhu Hassan utusaidia kulipwa fidia zetu. Kwa mara ya kwanza tulivunjiwa nyumba zetu na serikali tangu Septemba, 2008 baada…
Siku ya Kiswahili duniani; ni fursa au changamoto? – 2
DAR ES SALAAM Na Abbas Mwalimu Wiki iliyopita makala hii ilichambua umuhimu wa Kiswahili katika nyanja tofauti tofauti. Leo tuendelee kwa kukichambua jinsi kilivyotumika pia kama lugha ya ukombozi katika nchi za Msumbiji, Zimbabwe na Afrika Kusini (wakati wa ubaguzi…