Category: Makala
Jinsi ya kuwa na fikra kubwa (2)
Jiweke karibu na vitu vinavyoongeza uwezo wa kufikiri. Ukitaka kuongeza fikra zako lazima utumie vitu vinavyokuingizia fikra kichwani kwako. Lazima uongeze maarifa. Na njia pekee ya kuongeza maarifa na ufahamu ni kujifunza kila siku. Soma vitabu, soma makala mbalimbali, soma…
Hiari na dhima havitangamani moyoni
Moyo ni kiungo kimojawapo cha mwili wa binadamu. Vipo viungo vingi mwilini vikiwamo figo, ini, pafu na vinginevyo. Moyo wa binadamu daima hufikwa na madhila ya raha na tabu katika muda wote wa uhai. Shida, simanzi, raha na misukosuko ni…
Yah: Hizi Tv Online zina maudhui gani?
Kwanza, nikiri wazi kwamba sizungumzii Tv Online zote, la hasha! Zipo ambazo unatamani kuzifuatilia kwa jambo lolote makini na zipo ambazo zinajibainisha kuwa ni za watu makini, lakini huo ujinga ambao unaupata kila unapojiunga nao, kwa kweli ninashauri tuangalie upya…
Kupotea nyaraka inayohitajika mahakamani kama ushahidi
Inaweza kuwa nyaraka muhimu kama hati ya nyumba, mkataba wa mauziano au mkataba mwingine wowote, wosia, kadi ya gari au ya mashine yoyote, hati ya kusimamia mirathi, cheti cha ndoa au vyeti vinginevyo na nyaraka nyingine mbalimbali. Nyaraka hii inaweza…
Ya Wema Sepetu yanaibua maswali
Uamuzi wa Serikali, kupitia Bodi ya Filamu, kumfungia Wema Sepetu kujihusisha na masuala ya filamu kwa muda usiyojulikana kutokana na kuvuja kwa video yake ya ngono ni suala linalozua maswali. Kwanza, nakubaliana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania…
Wanaume washirikishwe uzazi wa mpango
Tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma, utoaji wa mimba zisizopangwa na uzazi usiofuata kanuni za uzazi wa mpango umepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matumizi ya njia za uzazi wa mpango. Matumizi hayo ya njia za uzazi wa mpango yameleta…