Category: Makala
Kwenye msafara wa mamba, kenge wamo
Nawasifu sana wanaharakati kote duniani, ambao wanashikilia suala moja na kulipigania bila woga, bila kujali yatakayowakuta. Uanaharakati upo wa aina nyingi. Mtu yeyote anaweza kuwa mwanaharakati. Unaingia kwenye kundi hilo iwapo unajaribu kushawishi mabadiliko ndani ya jamii kwa madhumuni ya…
Tanzania inaelekea wapi?
Serikali ya Awamu ya Kwanza chini ya uongozi wa Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ilifanya kazi kubwa ya kutuunganisha Watanzania ambao tunaishi kama ndugu bila chembe yoyote ya ubaguzi. Maisha yetu ya kupendana, kuthaminiana na kuheshimiana bila…
Mwanamke usipuuze maumivu ya kiuno, mgongo yasiyokoma
Wiki iliyopita nilipokea ujumbe mfupi kwa njia ya simu kutoka kwa Rose (si jina lake halisi), mmoja wa wasomaji wangu wa safu hii ukisema hivi: “Samahani daktari, mwaka mmoja uliopita nilipimwa na kugundulika kuwa nina uvimbe kwenye ovari ya kushoto….
Hauwezi kumfuga mbwa ukamkataza kubweka
Unapomfuga mbwa lazima atabweka tu, kwa sababu kubweka ni moja ya sehemu ya makuzi yake. Mimi ni mbwa niliyefugwa na taifa hili, ni lazima nibweke, siasa si uadui, isipokuwa hoja. Siasa ni sehemu ya maisha ya binadamu. Mwanafalsafa Hegel anasema: “Binadamu…
MAISHA NI MTIHANI (2)
Kutawala ulimi ni mtihani. Unapofungua mdomo kuzungumza ni kama unawafungulia watu albamu ya maisha yako, nao huo ni mtihani. Wataalamu wa mawasiliano wanatwambia kuwa mtu wa kawaida kwa wastani kwa siku anaweza kusema maneno ambayo yatajaa kurasa 20 zenye nafasi ya…
Nchi haiwezi kuendelea kwa kupangiana muda wa kulala
Napongeza uamuzi wa kutazamwa upya msimamo wa safari za usiku kwa magari, hasa mabasi. Uamuzi wa kuzuia mabasi kusafirisha abiria usiku ulitolewa wakati wa uongozi wa Serikali ya Awamu ya Pili kama suluhisho la ajali za mabasi kwa nyakati hizo….