Category: Makala
Maisha bila maadui hayana maana (3)
Mhubiri wa Injili, Israel Ayivor, alipata kusema kwamba yule aliyekusaidia kuzungumza mambo mabaya kuhusu mwenzako ndiye atakayemsaidia mtu mwingine kuzungumza uovu juu yako. Wema ni akiba. Tenda wema uende zako, usisubiri malipo. Kumbuka kwamba watu uliowatendea mema wanaweza kukugeuka lakini…
MAISHA NI MTIHANI (5)
Umri wa kati ni mtihani. Huu ni umri kati ya miaka 35 hadi 59. Ni umri kati ya ujana na uzee. Ni umri ambao mtu anaingia katika kipindi cha pili cha mchezo wa maisha. “Katika umri wa kati moyo hauna…
Pongezi kwa Serikali kupiga ‘stop; GMO
Juma lililopita tumesikia taarifa za kutisha kwamba wabunge wametembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) iliyopo Makutupora, Dodoma na kuridhishwa na matokeo ya utafiti wa mbegu za GMO, mbegu zinazoundwa kwenye maabara. Zilifuatiwa na habari kwamba serikali imesimamisha mara moja…
Namna ya kuzuia ukazaji/utekelezaji wa hukumu
1. Ukazaji wa hukumu ni nini? Ukazaji wa hukumu ni hatua inayochukuliwa na mtu aliyeshinda kesi/shauri kwa kuiomba mahakama kumlazimisha mtu aliyeshindwa katika kesi/shauri kufanya au kutekeleza kile ilichoamua dhidi yake/mshindwa. Kawaida mtu akishindwa kesi/shauri mahakama huwa inatoa maagizo mbalimbali,…
Subira ina heri, hila ina shari
Mwanambuzi alikwenda mtoni kunywa maji. Akiwa anakunywa maji, alitokea mbwamwitu naye alikwenda kunywa maji. Mbwamwitu alisimama hatua chache kutoka aliposimama mwanambuzi. Mbwamwitu alitamani sana kumla mwanambuzi. Alifikiri mbinu za kumkamata asimkimbie. Wakati anafikiri hivyo, mwanambuzi alikwisha kubaini janja ya mbwamwitu….
Yah: Maisha ya leo ndiyo tunayohitaji
Nianze na salamu za makabila ya huku kwetu Kusini kwenye mafanikio ya kununua korosho kwa mkupuo, tena bila mizengwe ya kuzungushana wala kupangiwa bei tofauti. Kuna salamu ambayo nadhani nikiitumia wengi wataielewa kwamba yajayo yanafurahisha, msishangae kutuona mjini kuja kufanya…