Category: Makala
Heshima ya kijana ni kazi
Kijana na Ajira ni maneno mawili yenye maana tofauti katika istilahi ya lugha ya Kiswahili. Lakini ni maneno yenye uhusiano na ushirikiano mwema katika mazingira ya kufanya kazi ambayo huleta kipato kizuri na maendeleo mema kwa kijana. Kijana anapofanya kazi…
Si lazima mke kumtolea ushahidi mume wake
Mathalani, mume anatuhumiwa kwa kutenda kosa fulani. Upande wa upelelezi wakiwamo polisi na wengine wanaamini mke ni mtu pekee anayejua tukio, hivyo kuwa shahidi muhimu kwao. Au mke anatuhumiwa kwa kutenda kosa na mume ndiye mtu pekee anayeweza kuwa shahidi….
Watu watanifikiriaje, inakuchelewesha
Kama kuna neno ambalo limewafanya watu wabaki palepale walipo miaka nenda – rudi ni neno: “Watu watanifikiriaje au watu watasemaje.” Watu wengi wana ndoto kubwa, maono makubwa, mawazo makubwa ya kuibadili dunia na vipaji vingi, lakini wanafikiria watu wengine watawafikiriaje…
Sababu zinazochangia tumbo kujaa
Ni hali ambayo mara nyingi mtu huhisi tumbo lake limejaa wakati wote. Kila mmoja amewahi kupata hali hii mara kadhaa kwa nyakati tofauti. Japo ni hali ambayo kwa kawaida hutokana na ulaji kupita kiasi, lakini kuna baadhi pia hawana tabia…
Bravo: Rais Magufuli (1)
Alhamis, Novemba mosi, 2018 inastahili kuwa siku ya kukumbukwa kutokana na lile tukio la Rais John Magufuli kushiriki kikamilifu mdahalo muhimu pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam (Mlimani), katika ukumbi wa Nkrumah. Nafikiri, mkuu wa nchi alijisikia yuko nyumbani…
Ndugu Rais tuonyeshe njia ya kwenda Canaan
Ndugu Rais, imeandikwa; wacha tukuchezee Bwana kwa matendo yako makuu. Wacha tukutukuze Bwana kwa ukuu wako! Mbingu na nchi zinatangaza ukuu wako Bwana, milima nayo yapendeza yamtukuza Yeye. Alipo Wewe Bwana utukufu unashuka! Canaan mji ule! Mji wa divai iliyo…