JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Kuporomoka maadili nani alaumiwe? (2)

Wiki iliyopita makala hii iliishia pale iliposema kesho ya mtoto  inajengwa na leo, methali ya Kiswahili inatukumbusha maneno haya: “Samaki mkunje angali mbichi.” Itakuwa ni biashara isiyolipa kumkunja samaki akiwa mkavu. Atavunjika, utapata hasara ambayo pengine hukutegemea kuipata. Nakubaliana na Frederick Douglass…

Wamarekani, Waafrika Kusini watuache

Taifa linahitaji fedha. Haya mambo makubwa ya kimaendeleo yanayofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano yatawezekana tu endapo ari ya kubuni, kuendeleza na kusimamia vyanzo vya mapato ya ndani vitatambuliwa na kulindwa kwa nguvu zote. Kama ambavyo Rais John Magufuli…

Yah: Nakumbuka disko la JKT, nadhani lirudi

Kama ilivyo ada ya muungwana, salamu ni jambo muhimu sana kwa msomaji wa safu hii ya kizuzu. Utakubaliana nami kwamba sijawahi kuacha kuwajulia hali. Hii inatokana na mafunzo niliyopata nikiwa kinda kwa wazazi wangu na mwishowe mafunzo ya uzalendo kwa…

Viongozi wetu wanao ukweli, wajibu na uzalendo? 

Nimepata kumsikia kiongozi mmoja wa siasa hapa nchini akisema hawezi kuipongeza serikali, yeye ni mzalendo. Serikali kufanya jambo zuri ni wajibu wake. Yeye ni opposition. Yupo hapo ili kuangalia mambo ambayo hayajatekelezwa, hayajafanywa vizuri na serikali. Anasema serikali ikifanya vizuri ni…

Nina ndoto

Yusufu alikuwa mtoto wa Yakobo. Akiwa na miaka 17 baba yake alitokea kumpenda sana maana alikuwa ni mwana wa uzee wake, akamtengenezea kanzu ndefu. Ndugu zake walipoona anapendwa zaidi wakaanza kumchukia. Siku moja Yusufu akaota ndoto na kuwaambia ndugu zake,…

Binadamu kutoka Afrika walivyozagaa duniani

Watu wa kale walitumia zana za mawe kuchinja mawindo yao. Katika kutekeleza hayo, huacha alama za chale kwenye mifupa. Hizi chale huweza kutambuliwa kutokana na umbo lake. Nyingi huwa na umbo la ‘V’ pamoja na mikwaruzo miembamba upande wa ndani…