JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Tuzingatie kanuni za uandishi wa habari 

Ukisoma Kamusi Kuu ya Kiswahili moja ya maana ya neno HABARI ni jambo, tukio au hali fulani iliyo muhimu na ya aina ambayo ni ngeni kwa walio wengi. Jamii ya wasomaji wa magazeti, wasikilizaji wa redio na watazamaji wa televisheni inayofaa…

Nina ndoto (2)

Ukiona ndoto yako haiwatishi watu, jua kwamba ni ya kawaida sana. Ndoto ya kwanza ya Yusufu iliwatisha ndugu zake. Ndoto yake ya pili si kwamba iliwatisha ndugu zake tu, bali ilimtisha hadi baba yake, Yakobo. Tunaambiwa siku moja ndugu zake…

Historia ya kusisimua ya binadamu Olduvai

Kufikia miaka milioni 1.5 iliyopita kulikuwa na ongezeko kubwa la tabia ya kuua wanyama wakubwa kama inavyoonekana kwenye maeneo mbalimbali ya malikale. Hali kama hii inaonekana pia katika maeneo mbalimbali ya Bonde la Olduvai. Uuaji wa tembo, twiga, viboko, faru…

Bandari: Usipokee gari bila nyaraka hizi

Baada ya kuelezea njia za kutoa gari bandarini katika makala zilizotangulia kwa nia ya kuepuka usumbufu na kupata uhalali wa gari lako, leo tunakueleza kuhusu nyaraka muhimu unazopaswa kupewa na wakala wako anapokukabidhi gari uliloagiza nje ya nchi na likapitia…

Ndugu Rais nani kasema Bunge letu ni dhaifu?

Ndugu Rais, mtu akikutana na mtu anayedhani amelewa, amwambie umelewa. Kama hajalewa atampuuza tu. Ole wake kama atakuwa kweli amelewa. Atayaoga matusi yake. Ataanza na tusi halafu atamuuliza umenilewesha wewe? Hakijaeleweka bado Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali…

MAISHA NI MTIHANI (12)

Kutafuta pesa ni mtihani. “Pesa ni kama mgeni; inakuja leo na kuondoka kesho.” (Methali ya Malawi). Namna ya kupata pesa na namna ya kuitumia ni mtihani. “Kutengeneza pesa ni kama kuchimba kwa sindano, kuitumia ni kama kumwaga maji mchangani.” (Methali…