JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Nina ndoto (3)

Kila mtu aliyepo duniani ana sababu ya kwanini alizaliwa. Mungu haumbi mtumba. Mungu anaumba vitu orijino kabisa. Hakuna aliyezaliwa aje duniani kuzurura. Hakuna aliyezaliwa aje kusindikiza wengine duniani. Maisha ni zawadi tuliyopewa na Mwenyezi Mungu. Kuna kila sababu ya kuketi…

Kukojoa mara kwa mara, sababu zinazochangia na suluhisho

Kukojoa ni njia inayotumiwa na mwili kutoa takamwili mbalimbali. Ni muhimu kwa mnyama kukojoa kwa sababu kupitia mkojo mwili unatoa uchafu mwingi usiohitajika mwilini kama vile maji ya ziada yasiyotumika mwilini. Pamoja na umuhimu wa kukojoa, kukojoa mara nyingi kwa…

Wananchi Tegeta, Madale, Goba, Salasala wachekelea kupata maji

Ule usemi wa baada ya dhiki ni faraja, umeanza kudhihirika kwa wakazi wa Salasala, Wazo na Madale jijini Dar es Salaam baada ya baadhi ya maeneo hayo kuanza kupata huduma ya maji kutoka Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA). Maeneo…

Gharama za usafirishaji samaki nje ni za kukomoa

Wafanyabiashara wa mazao ya baharini wanaopeleka nje na kuingiza samaki wana kilio chao kikubwa. Wafanyabiashara wa samaki aina ya kamba kochi hai (live lobster), kamba walioganda (frozen prawns) na kaa hai (live crabs) wako taabani kiuchumi. Mwanzo walikuwa wanalipia mrabaha (royalties) kwa kamba kochi dola 0.9 za Marekani…

Mali ya Watanzania inayowatajirisha Wajerumani

Nadharia ya mabadiliko ya viumbe inatuambia kuwa viumbe wanabadilika, wanatoweka na kuja viumbe wapya kila baada ya kipindi fulani cha maisha. Viumbe waliokuwapo huko mwanzo wa dunia si hawa waliopo leo, na kwa hakika viumbe watakaokuwapo mamilioni ya miaka baada…

Ndugu Rais tuepushe tusifike Golgota

Ndugu Rais, abarikiwe sana mwanamwema yule aliyenifanya niione nchi ya ahadi, Israel. Mungu ni mwema naye ana maajabu yake. Kwa miguu yangu isiyostahili nilikipanda kilima nikiifuata njia ile ile ya msalaba aliyoipita Bwana Yesu kituo kwa kituo. Yesu alibeba msalaba….