JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Watoto vitani, kukabili mabadiliko ya tabianchi

Na Tatu Mohamed, JakhuriMedia WANAFUNZI na walimu katika Shule ya Msingi ya Kibondemaji iliyopo Mbagala, jijini Dar es Salaam wanachukua hatua za muda mfupi na za muda mrefu, kuzikabili athari za kimazingira katika shule hiyo, zinazoaminika kuwa matokeo mabadiliko ya…

Mfahamu Dk Faustine Ndungulile shujaa wa afya Afrika

Na Isri Mohamed, Jamhuri Media Ni simanzi na huzuni zimetawala kwa wakazi wa Kigamboni, wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali na Taifa zima kwa ujumla kufuatia kifo cha Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Dkt Faustine Ndugulile kilichotokea usiku…

Uwekezaji mkubwa sekta ya madini ulivyochagia mapato kuongezeka

• Ajira zamwagwa kwa Watanzania, Minada ya Madini kurejeshwa, Mauzo yapaa Na Vicky Kimaro- Tume ya Madini “Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika Sekta ya Madini, tumenunua mitambo mikubwa, mitano imeshafika nchini, kumi ipo njiani inakuja, mitambo hii itawarahisishia wachimbaji wadogo…

Fahamu mabaraza ya vijana, ushawishi wake

Na Hassan Msellem , JamhuriMedia, Pemba Mabaraza ya vijana yalianza mwaka 1948 nchini Urusi. Lengo la kuanzishwa kwake ni kuwaunganisha vijana wa maeneo mbalimbali ili kutambuana na kuwa wazalendo wa taifa lao hasa pale inapobidi kulitetea dhidi ya adui, ikizingatiwa…

Mikataba ya kibiashara ikuze uchumi, makusanyo ya ndani

Na Baraka Jamali, JamhuriMedia, Mtwara Mikataba ya biashara na kodi kati ya nchi moja na nyingine inachukua nafasi muhimu ya kuimarisha uhusiano wa kiuchumi. Kimsingi, mikataba hiyo ina lengo la kupunguza mzigo wa kodi kwa wawekezaji wa kigeni na kuhamasisha…

Misamaha, unafuu wa kodi chanzo mapato ya ndani kupotea

Na Gerald Malekela, JamhuriMedia, Iringa Katika juhudi za kukuza uchumi, Tanzania imekuwa ikitarajia sera na mikakati mbalimbali kwa ajili ya kuongeza pato la taifa. Miongoni mwa mikakati hiyo ni utoaji wa misamaha au unafuu wa kodi na juhudi za kuongeza…