JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Trafiki akiomba leseni mwambie hivi…

Ukisimamishwa na trafiki barabarani na ukawa hauna leseni mfukoni kwa muda huo si kosa. Mwambie huyo trafiki kuwa hilo si kosa. Sheria inataka kutembea na leseni tunapoendesha vyombo vya moto, lakini pia haisemi kuwa utakapokuwa hauna pale unapoombwa na trafiki ni…

Historia ya Sikukuu ya Valentine’s Day

“Upendo huvumilia, Upendo hufadhili, Upendo hauhusudu, Upendo haujivuni, Upendo haukosi kuwa na adabu, Upendo hauhesabu mabaya, Upendo haufurahii udhalimu, Upendo hautakabari, Upendo hustahimili yote.’’ – (1Kor 13:113). Februari 14, dunia nzima inasherehekea Sikukuu ya Wapendanao, ijulikanayo kama ‘Valentine’s Day’. Ningependa…

MAISHA NI MTIHANI (14)

Kushindwa ni mtihani, mambo magumu sana ya kushughulikia maishani ni kushindwa na kushinda. Ukishindwa ni mtihani, ukishinda ni mtihani. Kuendeleza ushindi ni mtihani, kushikilia namba moja ni mtihani, kushikilia namba ya mwisho ni mtihani. Hoja si kushindwa bali lile mtu…

Rais nakuomba utafakari upya (2)

Ndugu Rais, sehemu ya kwanza ya waraka huu niliishia kwenye maneno ya hekima ya uhifadhi yaliyotolewa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Agosti 10, 1975. Kwa ufupi Mwalimu alieleza matokeo ya dhambi ya kuteketeza wanyamapori na misitu iliyotendwa…

Tuthubutu kuondoa umaskini

Mara kadhaa nimepata kumsikia Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli, akisema nchi yetu ni tajiri wakati wananchi wake ni maskini. Nchi hii imetunukiwa maliasili nyingi na Mwenyezi Mungu lakini watu wachache wametuchezea mno katika kupora mali zetu. Kauli hii inapambwa…

Yah: Liwepo ‘bunge’ la pili la viongozi wa dini

Sijui nianze na salamu gani katika waraka wangu huu, lakini cha msingi ni kujuliana hali kwa namna yoyote ile, kwa mujibu wa waraka wangu napenda kuwajulia hali kwa namna ya salamu zenu za itikadi ya dini na protokali izingatiwe. Wiki…