JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

MAISHA NI MTIHANI (15)

Mawazo ni mtihani. “Mawazo yana nguvu kuliko bunduki,” alisema Joseph Stalin. Mawazo yakisongana yanaleta msongo wa mawazo. Msongo wa mawazo unadhoofisha mwili. Mawazo ni mtihani. Chunga mawazo yako yanazaa maneno. Chunga maneno yako yanazaa matendo. Chunga matendo yako yanazaa tabia….

Tusiwe taifa la kuwaza mapumziko

Rais John Magufuli alipozungumza na viongozi wa dini, kwa chini chini kulionekana tofauti za hapa na pale. Tofauti hizo hazikuzungumzwa kwa mwangwi, na kwa maana hiyo ilisaidia kutoibua hisia za utengano. Kiongozi mmoja wa Kikristo alitoa maombi yaliyonikumbusha maneno niliyopata…

Hekima na busara zitawale wasanii

Walimwengu wanatambua wasanii wa muziki ni kundi ambalo linatoa mafunzo yenye maarifa mbalimbali kwa jamii. Tungo zao hutazamwa kwa shauku kubwa, kwa matarajio ya kuelimisha na kuburudisha jamii. Aidha, ndimi zao zinatawaliwa na adabu. Katika fasihi hii namtazama mwana mama…

Yah: Njombe nini kimetusibu, ni ukarimu wetu?

Kabla sijaanza na salamu ni vema nikatumia fursa hii kutoa pole nyingi sana kwa wafiwa na watoto wote waliopoteza marafiki zao wa utotoni. Wapo watoto ambao kwa kitendo hiki huenda ndoto zao pia zikawa zimekufa kutokana na wenzao kutendewa matukio ya…

Nina ndoto (4)

Muda pekee wa kutazama nyuma ni kutazama ni hatua kiasi gani umepiga. Ingawa Waswahili waliwahi kusema: “Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo.” Si kila muda ni wa kusahau yaliyopita. Nyakati zilizopita zina mafunzo tunayoweza kukutana nayo kwenye wakati ujao. Kosa si…

Kuumbwa kwa Bonde Kuu la Ufa

Kati ya miaka 300,000 hadi 250,000 iliyopita zana kubwa za mawe zijulikanazo kama acheulian zilianza kupotea katika maeneo ya akiolojia ya Afrika. Nafasi yake ikichukuliwa na aina mpya ndogo ndogo na saizi ya kati. Ukamilisho wa zoezi hili unamaanisha mwanzo wa muhula…