Category: Makala
ATCL imefufuka, imesimama, inapaa
1. Tangu Serikali ya Awamu ya Tano imeingia madarakani na kuliboresha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kununua ndege mpya, je, idadi ya abiria imeongezeka kiasi gani tofauti na ilivyokuwa awali? JIBU: Serikali ya Awamu ya Tano imeingia madarakani Novemba…
Rais amethubutu, tumuunge mkono
Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia kumpata kiongozi shupavu. Mungu ni mwema, akamuinua Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli awe Rais wa Tanzania baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2015. Kabla ya uchaguzi huo, Watanzania wengi…
Ndugu Rais tunajenga huku tunabomoa nyumba haitakwisha
Ndugu Rais, Mungu ni mwema. Ni mwema siku zote. Alikuwapo mwanamwema mmoja akiitwa Beni Kiko. Huyu alikuwa mtangazaji ambaye aliwavutia wasikilizaji wengi kwa namna alivyokuwa akiziwasilisha ripoti zake. Siku ya kwanza akiwa Dodoma mnyama mkali alimshambulia mtu hadi kumuua. Beni…
Vikao vya wazi vya Rais Magufuli vinafaa
Vikao vya wazi na rais vinafaa, pamoja na kwamba Rais Magufuli ‘anatisha’. Mmoja wa waalikwa wa kikao kilichoitishwa Ikulu na Rais John Magufuli ametamka kuwa Rais “anatisha”. Yapo mazingira yanayohitaji rais kutisha, kama kutisha kunaleta pia uadilifu na uwajibikaji ndani…
Ushahidi wa daktari kuhusu sababu za kifo
Unaweza kuwa wewe, ndugu yako, rafiki au jamaa yako ameunganishwa katika kesi ya mauaji. Aghalabu, daktari anasubiriwa kutoa ushahidi mahakamani kuhusu sababu za kifo cha marehemu. Na ni ushahidi huo wa daktari utakaokuondoa katika kesi hiyo ya mauaji au utakuingiza…
Historia ya Sikukuu ya Valentine’s Day (2)
Wiki iliyopita makala hii inayomhusu Mtakatifu Valentino iliishia pale ambapo aliweza kuhamasisha upendo na taratibu watu walianza kujirekebisha na upendo ukaanza kurudi ndani ya ndoa. Hata hivyo Mfalme Claudio alimchukia Valentino na kumfunga gerezani. Endelea… Wachumba walifundishwa na Valentino kwamba…