Category: Makala
Tusipoteze lugha mama tukakuza lugha ya mapokeo
Umoja wa Mataifa (UN) umepanga Februari 21, kila mwaka ni ‘Siku ya lugha ya mama duniani.’ Siku hii ina lengo na madhumuni ya kukumbusha na kudumisha utamaduni (historia, mila na desturi) wa kuzungumza lugha mama ambayo ndiyo lugha ya asili…
Yah: Na leo nakumbuka mambo ya zamani tu
S alamu zenu waungwana ambao naamini wengi wenu mnaosoma waraka wangu ni wale wenye umri wangu na kweli mnakumbuka pamoja na mimi. Nawapa salamu kwa sababu naamini kuwepo kwetu mpaka leo ni kwa neema tu na matunzo tuliyopata kutoka kwa…
Nina ndoto (7)
Wakati kampuni ya Coca Cola inaanza iliuza chupa 25 tu za soda ndani mwaka mzima! Hii inaonyesha kuwa kila mwezi waliuza takribani chupa mbili za soda. Najua umeshangaa maneno niliyoanza nayo hapo juu, lakini hiyo ni historia ya kweli. Leo…
Vipimo muhimu ambavyo wengi huvisahau (1)
Vipimo ni muhimu sana kwa maendeleo ya afya. Kupitia vipimo tunaweza kutambua mustakabali wa afya zetu, hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri katika kupambana na maradhi mbalimbali. Hivi karibuni takwimu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionyesha kuwa idadi ya wanaume…
Sheria za kilimo za sasa za kikoloni – Mgimwa
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Mahamoud Mgimwa, amesema kuwa sheria za kilimo zilizopo kwa sasa nchini ni za tangu ukoloni na hazina tija yoyote kwa mkulima wa kawaida, na kwamba kinyume chake sheria hizo humuumiza…
Utafiti: Gazeti la JAMHURI kinara ubora wa maudhui 2018
Gazeti la JAMHURI linalochapishwa na kusambazwa siku ya Jumanne kila wiki nchini na nchi jirani Afrika Mashariki, limeongoza dhidi ya vyombo vingine vyote vya habari Tanzania Bara na Zanzibar vilivyohusishwa kwenye utafiti wa ubora wa maudhui kwa vyombo vya habari…