JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Madaktari bingwa kutoka China watua Hospitali ya Rufaa Mbeya

Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya(MZRH), imepokea Madaktari bingwa wanne kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China ambao wanatarajiwa kutoa huduma mbalimbali za kibobezi, ikiwemo za upasuaji kwa kushirikiana na Madaktari wa Hospitali hiyo. Akizungumza ofisini kwake mapema leo…

Ukweli kuhusu NHIF huu hapa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Wakati Mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya (NHIF) ukiwatoa hofu wananchi kwa kusema kuwa upo imara na himilivu, magonjwa yasiyoambukizwa yanayosababishwa na ‘tabia-bwete’ yanatajwa kuwa chanzo cha ongezeko la gharama za matibabu nchini. Akizungumza na wahariri…

CHADEMA yaitaka Serikali kutoa sababu za NHIF ‘kufilisika’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeitaka Serikali kutoa sababu zilizosababisha Mfuko wa Taifa wa Bima (NHIF) kuwa na hali mbaya ya kifedha. Hayo yamesemwa leo Septemba 20,2022 na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salim Mwalimu…

Vijiji 20 Longido vyatenga hekta 186.794 kwa malisho

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha Vijiji 20 kati ya 49 Wilayani Longido, Mkoa wa Arusha, vimetenga eneo la hekta 186.794.2 kwa ajili ya nyanda za malisho ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Katika wilaya hii, asilimia 95 ya wakazi…