Category: Makala
Jumuiya ya Afrika Mashariki inayumba
Hali ya kutoelewana iliyopo kati ya Rwanda na Uganda, nchi mbili wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, inatishia utangamano wa jumuiya hiyo. Uhasama kati ya nchi hizi mbili ni wa muda mrefu na umewahi kusababisha mapambano ya silaha kati ya…
Huwezi kubadili hatimiliki kama una mkataba serikali za mitaa
Hapo awali niliandika namna sheria isivyowaruhusu viongozi wa serikali za mitaa (watendaji kata, wenyeviti wa mitaa, wajumbe, na ule uongozi wote wa huko chini) kuandaa na kusimamia mauzo na manunuzi ya nyumba au viwanja, kwa ujumla ardhi. Nikasema kuwa kitu…
Tuyapende mazingira
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, anasema: “Dunia ni makazi yetu ya pamoja.” Mwalimu na gwiji wa theolojia wa Kanisa Katoliki, Yohane Krisostom, naye anasema: “Dunia imeumbwa na Mungu ili kumtunza mwanadamu.” Jamii yoyote ile inayopuuza mustakabali mwema…
MAISHA NI MTIHANI (20)
Kujikosoa ni mtihani, unapowanyoshea wengine kidole, vitatu vinakuelekea wewe na kidole gumba kinasema Mungu ni shahidi. Kwa msingi huu kujikosoa ni mtihani. “Si namna tunavyofanya makosa kunakotutambulisha bali namna tunavyoyasahihisha,” alisema Rachel Wolchin. Kuna kitendawili kisemacho: “Kipo lakini hukioni.” Jibu ni…
Siasa zisiwagawe mama zetu
Maadhimisho ya Siku ya Wanawake yalifikia kilele wiki iliyopita. Shamrashamra zilikuwa nyingi karibu maeneo yote ndani na nje ya nchi. Wanaotambua na kuthamini utu wa mwanamke, kwao hadhi ya mwanamke iko palepale muda wote. Hawasubiri siku maalumu kulitambua au kulionyesha…
AINA TATU ZA SWALI Elekevu, jinga na pumbavu
Mimi naamini mazungumzo yoyote kati ya mtu na mtu (au watu) yana maana na madhumuni yake. Yanapata uimara na thamani ya maana yanapojengewa maswali yenye nguvu ya hoja na kupata majibu yaliyosheheni ukweli na usahihi. Mazungumzo, maswali na majibu hayana budi…