JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Hongera Ridhiwani, umeonyesha njia

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amefanya jambo lenye manufaa makubwa kwa wanafunzi wa kike jimboni mwake na kwa taifa. Amesimamia ujenzi wa mabweni ya wasichana katika Shule ya Sekondari Mboga, iliyopo Kata ya Msoga mkoani Pwani. Amesukumwa na azima yake…

Ushabiki na ushabaki havitangamani

Shabiki na shabaki ni kama watoto wawili pacha. Ukikutana na shabiki utawaza umekutana na shabaki, na ukikutana na shabaki utaona umekutana na shabiki. Kumbe sivyo. Ni watu wawili wenye hulka na tabia tofauti. Wa kwanza ni mkweli na wa pili…

Yah: Mheshimiwa Rais, bado kuna mambo mengi

Salamu zangu ni za kawaida kwa sababu kwanza naamini katika upendo; pili, naamini katika undugu; Watanzania wote ni kitu kimoja na ni ndugu, tunapaswa kupendana sana. Upendo tutakaokuwa nao ndio utakaotufanya tuwe na mshikamano na hatimaye tutavuka hili tuta kubwa…

NINA NDOTO (12)

Ongeza thamani kwa ukifanyacho Mchezaji bora katika timu si yule mwenye umri mkubwa zaidi ya wachezaji wengine au aliyeitumikia timu kwa muda mrefu, bali ni yule mwenye thamani.  Ndiye hulipwa zaidi ya wote. Thamani ni gharama au ubora wa kitu…

Hofu ya Chadema sheria mpya ya vyama vya siasa

Katika taarifa kwa umma, Machi 22, 2019, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefanya uchambuzi wa sheria mpya ya vyama vya siasa iliyotiwa saini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivi karibuni kama ifuatavyo: Tumeiona Sheria mpya ya…

MAISHA NI MTIHANI (22)

Hatuoni ingawa tunatazama Kuona ni mtihani. Si kila jicho lililofunguka linaona. Na si kila jicho lililofumbwa limelala. Kila mtu anatazama lakini si kila mtu anaona. Kuona ni mtihani. Je, unapotazama unaona? “Hatuoni vitu kama vilivyo, tunaviona kama tulivyo.” (Anais Nin)….