Category: Makala
Ubakaji na utelekezaji wa watoto
Kuna jambo ambalo limezungumziwa bungeni na kunifanya nihisi furaha iliyopitiliza. Jambo hilo ni kwamba wanandugu ndio wanaochangia kwa kiasi kikubwa kosa la watu kuwabaka hata dada zao na wakati mwingine binti zao, pia kuwatelekeza watoto wanaotokana na unyama huo wa…
Mwanadamu na fikra zake
Mwanadamu ana uwezo wa kufikiri na kuamua kutenda jambo zuri au baya. Anaweza kujifanyia haya binafsi, kuwafanyia wanadamu wenzake na viumbe vyote vilivyomo katika ulimwengu huu, kwa nia tu ya kuridhisha nafsi yake. Na hapa ndipo yanapoanzia maelewano na mifarakano…
Yah: Dunia inakwenda kasi, naomba nishuke
Naanza na salamu kama ilivyo kawaida yangu, naamini huo ni moja ya uzalendo ambao tumekuwa nao kama watoto wa Tanganyika mpaka ikawa Tanzania huru. Salamu inakufanya umtambue mzalendo mwenzako na kumtambua kama yuko salama na uko mikono salama kama mmekutana…
Tuoteshe miti ya asili
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema. Ni jambo la kushukuru sana. Wakati tulipopata uhuru mwaka 1961 nchi yetu iliitwa Tanganyika, lakini baada ya kuungana na Zanzibar Aprili 26, 1964 ikajulikana kama Tanzania. Kabla ya utawala wa Waingereza eneo la…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (8)
Wiki iliyopita niliahidi kujibu maswali haya: “Je, unafahamu utaratibu wa kisheria wa kusajili Jina la Biashara, gharama ya usajili, muda wa kukamilisha usajili, nyaraka zinazotakiwa, umri wa mtu anayetaka kusajili Jina la Biashara na matakwa mengine ya kisheria? Usikose nakala…
Ujira wa wafunga maturubai malori ya makaa ya mawe matatani
Vibarua wa kufunga maturubai mizigo ya makaa ya mawe kwenye malori wamevurugana na Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga baada ya halmashauri hiyo kujitwalia mamlaka ya kutunza fedha zao katika akaunti ya halmashauri. Kwa mujibu wa vibarua hao kutoka Kata ya…