Category: Makala
Daktari Mtanzania afariki kwa maambukizi ya Ebola Uganda
Daktari raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 37 ambaye amekuwa akisomea Shahada ya Uzamili ya Udaktari katika Upasuaji katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola, Chama cha Madaktari wa Upasuaji Uganda kimetangaza….
Mtoto wa mwezi mmoja afanyiwa upasuaji hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mtwara
Na Mwandishi Wet,JamhuriMedia,Mtwara Mtoto wa mwezi mmoja (Sinaini Mussa Kalokole) amefanyiwa upasuaji wa kichwa katika hospitali ya rufaa ya kanda Mtwara kwa ushirikiano kati ya Madaktari bingwa wa MOI pamoja na wa hospitali hiyo (SZRH). Upasuaji huo ni sehemu ya…
Uzazi wa mpango na afya ya uzazi Tanzania
Na Stella Aron, JamhuriMedia Huduma za kupanga uzazi ni moja ya afua mtambuka zinazopewa kipaumbele hasa katika huduma za kinga za afya. Huduma hizo za ni muhimu katika kufikia malengo makuu ya afya hasa katika afya ya uzazi na mtoto….
TAUS:Kuna uhaba wa madaktari bingwa wa upasuaji maradhi ya mkojo,uzazi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Arusha Tanzania inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa upasuaji wa maradhi ya njia ya mkojo na uzazi ambapo waliopo ni 100 tu ambao hawakidhi mahitaji kulingana na idadi ya wagonjwa hao waliopo. Hayo yamesemwa jijini Arusha…
DC Njombe:Msinywe dawa kwa kificho
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Njombe Mkuu wa Wilaya ya Njombe Kissa Kasongwa ametoa wito kwa watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya ukimwi kuacha kuogopa kutumia dawa za kufubaza maambukizi kwa kuwa Serikali imetatua changamoto ya kukosekana kwa dawa hizo huku akiwataka…
Programu ya SAUTI kuleta mabadiliko sekta ya mifugo nchini
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Mashimba Ndaki amesema kuwa Programu ya Samia Ufugaji kwa Tija (SAUTI) inakwenda kuleta mabadiliko makubwa kwenye Sekta ya Mifugo. Waziri Ndaki ameyasema hayo juzi wakati anazungumza na vijana waliochaguliwa kujiunga kwenye vituo atamizi…