JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

DAWASA: Tunazidi kuwafikia wateja wetu

DAWASA imejizatiti katika kuhakikisha inawapatia maji salama wakazi wote wa Jiji la Dar es Salaam pamoja na wale wa maeneo ya Mkoa wa Pwani. Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Cyprian Luhemeja,…

NINA NDOTO (14)

Muda ni mali, utumie vizuri   Watu wanaoishi ndoto zao ni wazuri sana katika suala linalohusu matumizi ya muda. Muda ni mali, utumie vizuri. Wakati mwingine utasikia watu wakisema muda ni pesa, lakini kwangu mimi jambo hilo ni la tofauti…

Kamali hatari kwa wanafunzi

Michezo ya kamali hapa nchini licha ya kuwa inaendeshwa kwa mujibu wa sheria chini ya usimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), imeendelea kuathiri taifa kwa namna mbalimbali hasa vijana. Nitakijikita kwa wanafunzi ambao ndio tegemeo la taifa…

Migogoro ya TANAPA, vijiji 390 kuwa historia

Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), Dk. Allan Kijazi, amezungumza na JAMHURI kuhusu mafanikio yaliyopatikana kwa kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano. Ifuatayo ni sehemu ya pili ya mahojiano ya Dk. Kijazi…

Vigogo wahatarisha mradi mabasi ya mwendokasi

Msongamano wa abiria wanaotumia usafiri wa mabasi ya haraka jijini Dar es Salaam maarufu kama (mwendokasi) kwa kiasi kikubwa unatokana na uzito wa kufanya uamuzi miongoni mwa watendaji serikalini. Hali ya kuchelewa kufanya uamuzi inakinzana na kasi ya Rais Dk….

Huduma ya maji kumfikia kila mwananchi

Kazi zinaendelea na Wiki ya Maji 2019 imekamilika. Kitaifa Wiki ya Maji imeadhimishwa jijini Dodoma kwa wataalamu na wadau wa sekta hii muhimu kukutana na kuangalia namna bora zaidi ya kufanikisha huduma muhimu ya majisafi na salama inawafikia wananchi bila…