Category: Makala
MAISHA NI MTIHANI (27)
Hofu ya kushindwa isizidi furaha ya kushinda Hofu ni mtihani. Hofu ya mwanamke ni hofu ya kutumiwa na baadaye kuachwa. Hofu ya mwanamume ni hofu ya kushindwa kwenye maisha. “Palipo na hofu hakuna furaha.” (Seneca). Anayeogopa kitu anakipa nguvu…
Uhuru una kanuni na taratibu zake (2)
Baada ya kutambua maana na aina ya uhuru katika sehemu ya kwanza ya makala hii, leo nakamilisha kwa kuangalia kanuni na taratibu za uhuru. Uhuru una thamani unapotekelezwa kwa kuzingatia kanuni zilizopo na kusimamiwa na taratibu zilizokubaliwa na watu walio…
Yah: Mambo ya ziara ya rais mikoani
Salamu nyingi sana wote mliotembelewa na rais, hasa mikoa ya Kusini ambako alikuwepo kuwapa salamu na shukurani za kumchagua, lakini kubwa zaidi kuzindua na kufungua miradi ambayo kwa mujibu wa sera za chama chake waliahidi watatekeleza. Naamini mmefurahi kuona mambo…
NINA NDOTO (16)
Kuwa na nidhamu utimize ndoto yako Kama yalivyo muhimu mafuta kwenye gari, ndivyo ilivyo nidhamu kwa mtu yeyote mwenye ndoto. Nidhamu ni kiungo muhimu kwa mtu anayetaka kutimiza ndoto yake. Kuna aliyesema: “Nidhamu ni msingi wa maisha yenye furaha na…
Shamba la Lyamungo mali ya KNCU – Waziri
Mvutano unaoendelea kuhusu nani mmiliki halali wa shamba la kahawa la Lyamungo baina ya Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU) na Chama cha Ushirika wa Mazao (AMCOS) cha Lyamungo unatokana na Ofisi ya Mrajis wa Vyama vya Ushirika nchini…
Hatua kubwa miaka 55 ya Muungano
Aprili 26, mwaka huu taifa litaadhimisha miaka 55 tangu kuasisiwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Umri huo wa miaka 55 ya Muungano si haba, changamoto na mafanikio kadhaa yamekwisha kujidhihirisha na kubwa zaidi…