JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Chungeni ndimi zenu

Mtunga Zaburi, Mfalme Daudi aonya hivi: “…Hivyo kiburi kimekuwa mkufu shingoni mwao, jeuri huwavika kama nguo, macho yao hutokeza kwa kunenepa, wameipita kadiri ya mawazo ya mioyo yao. Hudhihaki, husimulia mabaya.  Husimulia udhalimu, kana kwamba wako juu.” Zaburi 73:6-8; Mhubiri…

NINA NDOTO (19)

Uaminifu unalipa   Uaminifu ni tabia ya mtu  kuaminika. Kama watu hawakuamini si rahisi kutimiza ndoto yako. Uaminifu unalipa. Watu wakikuamini ni mojawapo ya hatua kubwa ya kuzifikia ndoto zako. Uaminifu hujengwa, lazima kuna mambo unatakiwa kuyafanya ili watu waweze…

Bandari: Taratibu za kusafirisha mzigo ng‘ambo

Kwa siku za karibuni yamekuwapo malalamiko yasiyo rasmi juu ya wateja kucheleweshewa mizigo inayosafirishwa nje ya nchi, hasa mizigo ya mazao yanayoharibika haraka (perishable goods) kama maparachichi. Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeyaona malalamiko hayo kupitia vyombo vya habari ikiwemo…

Kumbukizi miaka 20 bila Mwalimu Nyerere

Tunakosea kuwasifu wakwapuzi   Mei 16, mwaka huu Chama cha Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) ambacho ni chama cha kitume ndani ya Kanisa Katoliki kiliandaa kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Dhamira ya kongamano…

Ndugu Rais uliliambia taifa vema Watanzania si wajinga

Ndugu Rais, kwa kuwapenda watu wako, uliwatahadharisha viongozi wao kuwa watambue ya kwamba Watanzania si wajinga. Wana uwezo wa ‘kuanalaizi’ na kuchambua mambo. Wakinyamazia jambo kubwa wajue mioyo yao haiko, ‘clear’. Ndugu yetu Harrison Mwakyembe Waziri wetu aliwahi kuliambia Bunge…

Elimu nzuri inajenga fikra pevu

Hadi kesho katika taifa letu la Tanzania bado hatujakubaliana ni lugha gani tutumie katika kufundishia. Wengine wanapendekeza lugha ya kigeni, Kiingereza; na wengine wanaipendekeza lugha yetu ya Kiswahili. Hii ni kasoro kubwa! Wataalamu wa falsafa wanatuambia kwamba, fikra na mawazo…