Category: Makala
Huwezi kukopa kwa dhamana ya kiwanja, shamba lisiloendelezwa
Wiki iliyopita niliandika kuwa ujenzi wa uzio (fensi) pekee kwenye kiwanja si uendelezaji halisi kwa mujibu wa kanuni mpya za sheria ya ardhi tofauti na tulivyozoea. Leo tena tunatazama sehemu ya (iii) Kanuni ya saba ya kanuni mpya, kanuni za…
Usiamini uwepo wa uchawi
Jamii yoyote ile ni lazima itembee katika ukweli, haki, maadili, mwanga na elimu. Hakuna jamii inayoweza kuendelea pasipo watu wake kuwa wakweli na wenye maadili na akili tafakari na akili bainifu. Hatuwezi kuendelea kutambua kwamba sisi ni wajinga na bado…
MAISHA NI MTIHANI (31)
Nyota njema huonekana pia jioni Namna ya kumaliza ni mtihani. Hoja si namna unavyoanza, hoja ni namna unavyomaliza. “Kuanza vizuri ni jambo la kitambo; kumaliza vizuri ni suala la maisha yote,” alisema Ravi Zacharias – mtunzi wa vitabu. Mwanzo unaweza…
Sasa iwe zamu ya ‘chainsaw’
Wiki mbili zilizopita katika safu hii niliandika makala nikieleza hisia zangu kuhusu hatua ya Kenya kutupiku kwenye fursa ya kufundisha lugha ya Kiswahili nchini Afrika Kusini. Siku chache baadaye, Rais John Magufuli, akawa na ziara katika mataifa matatu – Afrika…
Yah: Kiswahili ni bidhaa ya kuuza nje, walimu changamkeni
Nimeamka nikiwa na furaha sana baada ya kusikia kumbe tunatembea na bidhaa bila kujijua. Ni wachache ambao walikuwa wanajua kwamba Kiswahili ni fedha, hasa ni wale wenzetu ambao wanatumia mitandao ya kuzunguka duniani wakiwa wamekaa katika viti vyao, sisi huku…
Tujali Polisi na Mahakama
Ni vema tukakumbuka tuna wajibu wa kujali na kuheshimu (kuthamini) vyombo vyetu vya Polisi na Mahakama, ambavyo tumeviridhia kusimamia usalama wetu na kutoa haki. Ni vyombo nyeti katika mustakabali wa maisha yetu, uhuru na amani ya taifa letu. Polisi katika…