Category: Makala
NINA NDOTO (20)
Umri usiwe kikwazo cha kutimiza ndoto Kuwa na umri fulani si kigezo kuwa huwezi kutimiza ndoto zako. Umri ni namba tu. Bila kujali kama wewe ni mzee au mdogo kiasi gani, bado unaweza kutimiza ndoto zako. Bado unayo nafasi…
Elimu ni mkombozi wa ulemavu wa fikra
Ulemavu wa fikra umejificha. Wakati mwingine ni vigumu kuutambua au kwa vile ulemavu huu una nguvu na unaweza kutupumbaza wote, ni jambo ambalo linachukua tafakuri na kujiuliza maswali yasiyokuwa na majibu. Mfano, sisi Waafrika kuwa na majina ya Kizungu na…
Umuhimu wa kujenga familia iliyo bora
Mratibu Ofisi ya CPT Taifa, Mariam Kessy, kwenye kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Mwalimu Nyerere aliwasilisha mada kuhusu familia. Yafuatayo ni baadhi ya yale aliyozungumza. Familia kama msingi wa taifa na jamii, kila mmoja anakotoka na…
Ndugu Rais kama si wewe nani atawatoa watoto majalalani?
Ndugu Rais, imeandikwa; kitabu hiki cha Torati kisitoke mdomoni mwako mchana hata usiku. Nami kama Daudi nimetumwa uyatafakari maandiko tuandikayo kwa maana hayo yataifanikisha njia yako kwa kuwa yatakustawisha! Ndugu Rais, kama si wewe baba, ni nani atawatoa jalalani watoto…
Kuwapo madini Tanzania ni baraka au laana?
Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyenijalia kuandika makala hii na kuchapishwa katika gazeti hili mahiri ili kuelimisha na kuwajuza Watanzania nini kinajiri katika sekta ya madini. Tanzania imejaliwa kuwa na rasilimali asilia ikiwemo ardhi, madini, misitu, wanyamapori, maji chumvi/maji baridi, samaki na viumbe hai…
Ukweli japo wa mbaya wako ni ukweli
Siamini yupo binadamu anayekubali kwa hiari kuvumilia ubaguzi wa aina yoyote; kwa hiyo tunaposikia matamshi au kushuhudia vitendo tunavyohisi kuwa vya kibaguzi vinatuamshia mara moja hisia ya kujihami na hata kurejesha mashambulizi. Nilikuwa abiria kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa…