Category: Makala
MAISHA NI MTIHANI (33)
Makosa ya wengine ni walimu wazuri Makosa ni mtihani. “Inabidi mtu awe mkubwa kiasi cha kukubali makosa yake, makini kiasi cha kuyafaidi na jasiri kiasi cha kuyasahihisha,” alisema R.B. Zuck. Tunajifunza mambo matatu. Kwanza, yule ambaye hakubali makosa yake bado ni…
Demokrasia na haki za binadamu – (2)
Juma lililopita niligusia kuasisiwa kwa demokrasia na kutangazwa rasmi tangazo la haki za binadamu. Leo naangalia baadhi ya changamoto zinazotokana na misamiati hii ya siasa, utawala na haki kwa wananchi wa Afrika. Nathubutu kusema tawala karibu zote duniani zinakiri kuheshimu…
Yah: Mheshimiwa Rais watafute kina Magufuli
Natuma salamu nyingi sana kwako lakini najua inawezekana umekaa katika kiti na umeshika tama ukitafakari mambo yanavyokwenda, unaona mahali ambapo mambo yamekwama na kuna mteule wako yupo yupo, kama nakuona unampa muda wa kujitafakari ajue unataka nini lakini anashindwa, unamtumia…
Gamboshi: Mwisho wa dunia (2)
Wiki iliyopita makala hii iliishia katika aya iliyosema: “Yule kizee aliyeniweka mlangoni alikuja akataka kunichukua tena anipeleke kusikojulikana. Nilikataa na akawa ananilazimisha nikubaliane naye. Hapana jamani, dunia ya Gamboshi ndiyo hasa ninayopenda kuishi, maisha ya maajabu ndiyo kipenzi cha roho…
NINA NDOTO (21)
Tumia kipaji chako Kipaji ni kitu chochote unachoweza kukifanya kwa urahisi bila kutumia nguvu nyingi. Kimsingi kipaji huwa hakichoshi. Kuna watu wana vipaji vya uandishi, uongozi, kuimba, kucheza muziki, kuchora, kuigiza, kushona, kupamba, kupika, orodha ni ndefu, kwa kutaja…
Caspian, Tancoal zavunja mkataba
Kampuni ya Tancoal inayochimba makaa ya mawe wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma imekubali kuilipa Kampuni ya Caspian shilingi bilioni 18.4 na kuvunja mkataba baada ya fedha hizo kuzuiliwa miaka miwili kutokana na utata wa kimasilahi. Uchunguzi uliofanywa na Gazeti la JAMHURI…