JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Waziri Mkuu, Butiama inahujumiwa

Mheshimiwa Waziri Mkuu, naandika barua hii mahususi kwako kuhusu Kijiji cha Butiama ambako ndiko Makao Makuu ya Wilaya ya Butiama. Uamuzi wa kuifanya Butiama kuwa Makao Makuu ya Wilaya ya Butiama ni utekelezaji wa uamuzi wa kikao cha Halmashauri Kuu…

Demokrasia na haki za binadamu – (3)

Wazungu walipoasisi demokrasia wakaweka na misingi mitatu ya kanuni za demokrasia ambazo ni uhuru wa majadiliano, uhuru wa walio wengi kufikia uamuzi na uhuru wa utii wa uamuzi uliokubaliwa katika kikao. Kadhalika walipotoa tangazo la haki za binadamu wakaweka vifungu…

Yah: Ulinzi shirikishi ni laana?

Kuna wakati huwa naamini hakuna sababu ya kupeana salamu kutokana na matukio yanayotokea, kwa kawaida salamu anapewa mtu muungwana na anayepokea ni muungwana, lakini sasa hivi unaweza kutoa salamu ndiyo ukawa mwanzo wa kukaribisha nyoka katika mwili wako, kwa maana…

Gamboshi: Mwisho wa dunia (3)

Wiki iliyopita hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Mwanzoni nilimwona akiwa na urefu wa kawaida, lakini kadiri tulivyokaribiana alizidi kurefuka. Alikuwa anaongezeka mita moja kila hatua aliyopiga. Na baadaye nyayo za miguu yake zikawa zimeziba barabara kwa ukubwa wake,  nikaogopa…

NINA NDOTO (22)

Kupuuza ubunifu ni kuua ndoto   Kila mmoja wetu amezaliwa na ubunifu ndani yake, jambo hili lipo wazi hasa pale tunapowatazama watoto wadogo. Tukiwa watoto tunaweza kufanya mambo mengi na kujaribu vitu vingi. Watoto hutengeneza vitu kwa kutumia vifaa vinavyozunguka…

Dawasa inavyoimarisha miundombinu ya maji

Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) imewakosha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam kwa namna inavyotekeleza ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015. Dawasa inatekeleza miradi mikubwa ya maji katika Mkoa wa Dar es…