Category: Makala
Tundu Lissu ‘moto’ wa nyika
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vincent Mashinji hivi karibuni alikutana na waandishi wa habari kuzungumzia uamuzi wa Spika wa Bunge, Job Ndugai kuiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Jimbo la Mbunge Tundu Lissu…
Demokrasia ya vyama vingi si uhasama
Imetimu miaka 27 sasa tangu Watanzania waamue kurejesha mfumo wa demokrasia wa vyama vingi vya siasa nchini (1992 -2019). Katika harakati za kurejesha mfumo huu, kuna hotuba nyingi. Miongoni mwao viongozi waliotoa hotuba za namna hiyo ni Baba wa Taifa,…
Yah: Siasa isiwepo kila mahali
Kuna siku moja katika waraka wangu huu niliwahi kuonya juu ya mambo ya kitaalamu kuwaachia wataalamu wayafanye, wale ambao ni wanasiasa wajitahidi kutembea katika nafasi yao ya kupambana na masilahi na uwezeshaji wa kupanga vipaumbele kutokana na umuhimu. Kuna mambo…
Gamboshi: Mwisho wa dunia (4)
Wiki iliyopita hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Tatizo jingine ni pale nilipotaka kutembea kidogo; ilipaswa kule nilikoelekea watu wataarifiwe kuwa nitapita eneo hilo kwa hiyo wachukue tahadhari nisije nikawakanyaga kwa bahati mbaya nikiwa katika mishemishe zangu. Hii ilikuwa kero…
NINA NDOTO (23)
Itumie intaneti isikutumie Kama kuna watu waliishi kuanzia miaka ya 1990 na kurudi nyuma ukiwarudisha leo duniani wataona maajabu mengi. Dunia imebadilika sana, imekuwa kama kijiji. Leo hii unaweza kuwasiliana na mtu aliyeko nje ya nchi kana kwamba ni…
Tumejipanga kuvihudumia viwanda
Wakati nchi ikijiandaa kwenda kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na baadaye Uchaguzi Mkuu 2020, Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) inazidi kuwapatia wananchi wa Dar es Salaam na Pwani maji. Ni wakati mwafaka kuwahamasisha na kuwaelimisha…