JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Lissu kupoteza sifa urais, ubunge 2020

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amesema moja kati ya makosa mawili yaliyosababisha Tundu Lissu kufutwa ubunge ni kutojaza taarifa za mali na madeni. Kosa hili kwa mujibu wa Ibara ya 67(2)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa…

Uponyaji wa majeraha katika maisha (3)

Nakusihi wewe ambaye umeumizwa na mzazi wako, ‘msamehe’. Umeumizwa na mtoto wako wa kuzaa, ‘msamehe’. Umeumizwa na mume wako, ‘msamehe’. Umeumizwa na mke wako, ‘msamehe’. Umeumizwa na kaka yako, au dada yako, ‘msamehe’. Umeumizwa na jirani yako, ‘msamehe’. Umeumizwa na…

MAISHA NI MTIHANI (36)

Neno ‘haliwezekani’ tafsiri yake hujafikiria sana   Suluhisho ni mtihani. Kila tatizo lina suluhisho, tatizo ni wapi upate hilo suluhisho. Kuna maoni tofauti juu ya suluhisho. Uri Levine anapendekeza: “Lipende tatizo, na si suluhisho.” Kuna ambao wanaona kuwa usijikite kwenye…

Marekebisho vitambulisho vya wamachinga yanahitajika

Rais John Magufuli amejipambanua kama kiongozi mpenda wanyonge. Mara zote amesikika na hata ameonekana akiwatetea watu wa kada hiyo ambao kwa muda mrefu wametaabika. Hili ni jambo jema linalostahili kutendwa na kiongozi mkuu wa nchi. Katika kutekeleza dhana hiyo ya…

Wananchi tunataka mabadiliko

Siasa ni sayansi, ni taaluma pia. Sayansi ina ukweli na uhakika, na taaluma ina maadili, kanuni na taratibu zake. Siasa ni mfumo, mtindo, utaratibu au mwelekeo wa jamii katika fani zake zote za maisha. Ni utaratibu uliowekwa au unaokusudiwa kuwekwa…

Yah: Tumemaliza AFCON tujipange

Nianze kwa kuwapongeza vijana ambao kwa mara ya kwanza wametambua kwamba ni wawakilishi kwa maana ya mabalozi wetu waliokuwa wakipigania mafanikio ya taifa. Nawapongeza sana na tumeona ni jinsi gani ambavyo pamoja na jitihada zote kubwa walizokuwa nazo tumeshindwa kufanikiwa…