Category: Makala
Dawasa: Tunawaletea maji Dar na Pwani
Wakati wizara na taasisi za serikali zikiendelea kupambana kukamilisha matarajio ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2015 – 2020, katika kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa, Wizara ya Maji kupitia Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es…
Yapo madhara ya kuiga kila kitu
Binadamu anajiendeleza kwa kujifunza au kuiga kutoka kwa vizazi vilivyotangulia. Haipo jamii itakayojihakikishia maendeleo ya uhakika bila kujifunza kutoka jamii nyingine ilimradi wanajamii wanaafikiana juu ya maana ya maendeleo na yapi yawe ya kuiga ili kujiletea maendeleo. Teknolojia ya habari…
Namna ya kugawa mali za marehemu
Tanzania kuna sheria nne ambazo hutumika kugawa mirathi. Kwanza, sheria za kimila; pili, sheria za Kiislamu; tatu, sheria ya urithi ya India ( Indian Succession Act) na nne, sheria ya mirathi ya watu wenye asili ya Asia. Swali la sheria…
MAISHA NI MTIHANI (38)
Malezi ya mama ni mtaji wa watu mashuhuri Umama ni mtihani. Kila nyuma ya mtu mashuhuri kuna mama makini. Mama ni mzaa chema, lakini kila nyuma ya mshika mkia kuna mama mzembe au hakuna mama. “Mungu asingeweza kuwa kila mahali,…
Asante sana Rais Magufuli
Kwenye safu hii, toleo Na. 391, niliandika makala iliyokuwa na kichwa cha habari: “Rais Magufuli wasaidie wanyonge hawa”. Nilichoandika kilihusu mateso yanayowafika maelfu ya Watanzania katika magereza nchini mwetu. Nilianza na kisa cha kweli cha mama mmoja niliyemkuta akitoka kumwangalia…
Diaspora wa kwanza duniani walitoka Ngorongoro
Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Profesa Audax Mabulla na Meneja Idara ya Urithi wa Utamadani katika Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) katika Bonde la Olduvai, Mhandisi Joshua Mwanduka; wanazungumzia ugunduzi wa Zinj miaka 60 iliyopita na…