JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Chongolo: Rushwa bado changamoto kwenye chaguzi za CCM

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Katibu Mku wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewataka makatibu wa chama hicho kuanzia ngazi ya tawi hadi mkoa kuhakikisha wanasimamia vizuri mali za chama ili kukifanya chama hicho kuwa na maendeleo endelevu. Chongolo ametoa agizo…

Serikali yapaisha ustawi wa watu wasioona nchini

Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefanikiwa kuwawezesha Watu wasioona hususan katika eneo la Ajira, Michezo na TEHAMA. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (kazi, Ajira, Vijana na Wenye…

Matumizi holela ya dawa kupoteza mamilioni ya watu duniani

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Imeelezwa kuwa ifikapo mwaka 2030 watu zaidi ya milioni 10 watakufa kwa kila mwaka kutokana na matumizi holela ya dawa za mifugo ambayo yamekuwa yakisabaishwa vimelea vya magonjwa kujenga usugu. Aidha matumizi ya dawa kiholela ya dawa…

Watoto 64 wafanyiwa upasuaji wa moyo, Serikali yaokoa bilioni 1.6/-

Watoto 64 wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa upasuaji katika kambi maalum ya matibabu ya siku sita iliyomalizika jana katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam. Watoto hao walikuwa na matatizo ya matundu…

Mwalimu Nyerere alivyohubiri maendeleo, Umoja wa Kitaifa

Na Mwalimu Samson Sombi,JamhuriMedia Imetimia miaka 23 tangu kutokea kwa kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, katika Hospitali ya Mt. Thomas jiji la London nchini Uingereza Octoba 14, 1999. Mwalimu Julias Kambarage Nyerere alizaliwa mwaka 1922 Kijijini…