JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Mchawi wa ajira tunaye wenyewe

Serikali imetenga Sh bilioni 40 kwa mwaka huu wa fedha wa 2019/2020 kwa ajili ya ujenzi wa vyuo vya VETA katika wilaya 25 nchini. VETA wanasema maombi ya vijana wanaotaka kujiunga kwenye vyuo vyake yamefikia 800,000 kwa mwaka ilhali uwezo…

Nia njema tabibu, nia mbaya harabu

Nia ni kusudio, yaani dhamiri ya kutaka kukamilisha jambo au haja. Binadamu hafanyi jambo bila ya kuwa na nia katika nafsi yake. Nafsi humsukuma kutaka jambo lake lifanikiwe katika umbo la uzuri au ubaya. Nia nzuri au mbaya huonekana binadamu…

Yah: Siasa ni muhimu kwa taifa lolote

Naanza na salamu. Salamu ni uungwana wa kawaida kwa muungwana yeyote ili aweze kuwasiliana na mwenzake, maisha ya kuishi kila mtu akimuona mwenzake ni adui si maisha mazuri na kupishana kwa itikadi hakutufanyi tuwe maadui na kukubali matokeo ya walio…

Gamboshi: Mwisho wa dunia (9)

Wiki iliyopita katika sehemu ya 8 hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Shahidi wa pili alikuwa Bibi Judith mwenyewe. Aliieleza mahakama jinsi siku moja walivyokuja jamaa watatu. Mmoja alikuwa Mzungu, mwingine Mwarabu na wa mwisho alikuwa mtu mweusi Mwafrika. Watu…

NINA NDOTO (28)

Tumia kichwa chako vizuri   Kila mtu amezaliwa na kichwa chenye ubongo  kinachoweza kufanya mambo makubwa. Akili aliyopewa mwanadamu ikitumika vizuri inaweza kufanya mambo makubwa na pia kusaidia kutimiza ndoto nyingi. Mtu asiyeweza kutumia akili tunasema amerukwa  akili au ni…

Nyaraka muhimu unapokabidhiwa gari kutoka bandarini

Hivi karibuni tumeeleza njia rahisi ya kutoa gari bandarini katika makala iliyopita. Njia hizi ni zile ambazo  mteja anatakiwa kuzifuata ili aweze kutoa gari lake bandarini kwa haraka na bila usumbufu. Leo katika makala hii tutaelezea umuhimu wa fomu za Vehicle Discharge Inspection Transfer Tally (VDITT)…