JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Kuomba kutambuliwa kama mzazi wa mtoto

Wako watu ni wazazi na wamezaa lakini wameyimwa watoto. Zipo sababu nyingi katika jambo hili. Matukio ya namna hii hayawatokei sana wanawake bali wanaume. Ni rahisi na kawaida mno mwanamume kuambiwa na mzazi mwenzake  kuwa huyu  mtoto si wako hata …

Gamboshi: Mwisho wa dunia (11)

Wiki iliyopita katika sehemu ya 10 hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Nilitembea kidogo kisha nikajikuta niko kwenye himaya ya watu wa ajabu. Sielewi sawa sawa kama hawa walikuwa ni watu au la. Nilipelekwa kwenye ghorofa moja na huko nikakuta…

NINA NDOTO (30)

Ukiwa na ndoto usipige kelele, kaa kimya   Mtu anapokuwa na ndoto mara ya kwanza huwa haipo katika uhalisia, bado inakuwa haijatimilika. Kwa msingi huo, unapokuwa na ndoto, kaa kimya usipige kelele. Mojawapo ya kosa kubwa alilolifanya Yusufu ni kuwaambia…

Niacheni niseme ukweli japo unagharimu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, amefuta leseni ya umiliki wa kitalu cha Lake Natron East kinachoendeshwa na Kampuni ya Green Mile Safaris (GMS). Kwenye maelezo yake hakuwa na mengi, isipokuwa amenukuu kifungu kwenye Sheria ya Wanyamapori Na….

BANDARI ZA TANZANIA

Lango kuu la biashara za SADC   BANDARI za Dar es Salaam, Tanga, Mtwara na nyinginezo nchini Tanzania ni lango kuu la biashara kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC); za Malawi, Zambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

Ndugu Rais amani ya nchi yetu imetikiswa

Ndugu Rais, mwishoni mwa miaka ya 1960, tungali vijana rijali na wasomi wazuri, wahitimu wa ‘middle school’ shule ya kati, Rais Julius Nyerere alifanya ziara mkoani kwetu – wakati huo ukiitwa Mbeya. Wakati ule ukisema Rais Nyerere ilikuwa inatosha. Utaratibu…