JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

MAISHA NI MTIHANI (44)

Maneno ‘asante sana’ yanaroga mtoaji atoe zaidi Shukrani ni mtihani. Kwa mtazamo wangu, shukrani ni utajiri, kutoshukuru ni umaskini. Shukrani ni furaha, kutoshukuru ni huzuni. Shukrani ni fadhila, kutoshukuru ni kilema. Shukrani ni chanya, kutoshukuru ni hasi. Shukrani ni kicheko,…

Kauli za viongozi ziwe za hadhari, zisilete mauaji

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bashiru Ally, alipowataja wakuu wa mikoa wawili kuwa wamo kwenye orodha ya viongozi vijana watakaopelekwa kupata mafunzo ya uongozi, wapo ambao hawakumwelewa. Siku mbili baadaye, hao waliokuwa hawamwelewi, walimwelewa vizuri. Kati ya wakuu…

Mwana msekwa ndo mwana

Wazaramo ni miongoni mwa makabila zaidi ya 125 yanayofahamika na kuunda taifa la Watanzania. Ni wakazi wenyeji wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Kiasili wana utamaduni wao na lugha mama mwanana – Kizaramo. Kihistoria na kijiografia wana ndugu zao…

Yah: Mabango ya waganga wa kienyeji

Leo nimeamua kutotaka salamu wala kusalimia mtu, nimeamka na hili la mabango ya waganga wenye vibali vya kujitangaza kutibu magonjwa yaliyoshindikana hospitalaini na makanisani. Hata sielewi ni nani hasa ambaye anaweza akawajibika kwana kesi hii siku ya mwisho pale palapanda…

NINA‌ ‌NDOTO‌ ‌(32)‌

Jifunze‌ ‌kuamka‌ ‌mapema‌ “Kama una ndoto ya kuajiriwa, usilale hadi saa moja.”  alisema Ruge Mutahaba akiwa mkoani Mbeya katika fursa mwaka 2017. Linaweza kusikika kama jambo geni, lakini watu waliofanikiwa kwenye sekta mbalimbali ni watu waliojijengea tabia ya kuamka mapema….

HOTUBA YA MHESHIMIWA DK. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUFUNGA MKUTANO WA 39 WA WAKUU WA NCHI WA SADC DAR ES SALAAM, TAREHE 18 AGOSTI, 2019

Naomba nianze kwa kutoa taarifa. Jana, baada ya kusoma sehemu ya hotuba yangu ya ukaribisho kwa kugha ya Kiswahili; Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC walifurahi na kuvutiwa sana. Hivyo basi, tulipokwenda tu kwenye mkutano wetu wa ndani, wote…