JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Kulaza watu saa 5 usiku si haki

Hivi karibuni nilihudhuria sherehe za kijana mmoja aliyefunga ndoa. Ni tukio la furaha kwa wana ndoa wenyewe, lakini pia kwa ndugu, jamaa na marafiki wa wawili hao. Ni tukio linalowakutanisha watu wengi na huendana na shamrashamra za kila aina. Kula…

Kuna njama za kuhujumu uchumi wetu

Kuna njama za kuhujumu uchumi na kudhulumu utu na uchumi wa Mtanzania daima dumu. Njama hizo si ndogo, ni kubwa na zinatekelezwa usiku na mchana na mabeberu wa dunia wakishirikiana na Watanzania wenzetu. Wananchi hatuna budi kulifahamu hilo na kuwa…

Yah: Sasa litolewe tamko

Naanza na salamu kama Mtanzania mwenye uzalendo.  Watu wengi hawaelewi maana halisi ya uzalendo. Inawezekana hata mimi nikawa miongoni mwao, kwa maana ya leo ambayo inazungumzwa na wanasiasa wengi vijana na walioibuka katika uwanja wa siasa kama sehemu ya ajira….

Kunahitajika chombo cha kitaifa kuratibu shughuli za Serikali

Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema na wingi wa neema, lakini pia kutupatia uwezo na nguvu kusimamia na kutumia rasilimali zilizopo kwa faida ya kizazi hiki na kijacho. Tanzania imejaliwa kupata rasilimali na…

NINA‌ ‌NDOTO‌ ‌(33)‌

Nitawezaje‌ ‌kuamka‌ ‌mapema?‌ ‌ “Ni‌ ‌jambo‌ ‌la‌ ‌aibu,‌ ‌ndege‌ ‌wa‌ ‌angani‌ ‌waamke‌ ‌kabla‌ ‌yako,”‌ ‌alisema‌ ‌Abu‌ ‌Bakr,‌ ‌rafiki‌ ‌wa‌ ‌karibu‌ ‌sana‌ ‌wa‌ Mtume‌ ‌Muhammad.‌ ‌ Siku‌ ‌moja‌ ‌wakati‌ ‌natazama‌ ‌video‌ ‌katika‌ ‌mtandao‌ ‌wa‌ ‌Youtube‌ ‌nilikuta‌ ‌video‌ ‌iliyokuwa‌ ‌ikimuonyesha‌ bondia‌ ‌maarufu‌…

Maendeleo Bukombe yanavyokimbia (2)

Na angela kiwia Mbunge wa Bukombe, Dotto Biteko, katika mahojiano maalumu na JAMHURI kuhusu mambo ya maendeleo yanayoendelea jimboni kwake, amesema katika kipindi cha miaka mitatu mtazamo wa wananchi wa Bukombe umebadilika, tofauti na ilivyokuwa mwanzo. Biteko, ambaye pia ni…