Category: Makala
Yah: Historia hujirudia ni laana
Nianze na salamu za pole kwa wenzetu wote, hasa Waafrika ambao wako Kusini mwa bara hili, ambao wamekumbwa na mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama vile wanaowaua wanatoka nje ya Afrika na hawana undugu nao, yaani leo wamesahau waliishije enzi…
BURIANI MZALENDO PAUL NDOBHO
Mbunge aliyemshinda Mwalimu Nyerere Paul James Casmir Ndobho alifariki dunia Jumapili, Septemba 8, 2019, saa mbili usiku katika Hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza alikokuwa akitibiwa. Kwa bahati mbaya sana, kifo chake hakikutangazwa na kupewa uzito unaostahili ambao ungeakisi mchango…
NINA NDOTO (34)
Niongee lini, ninyamaze lini? Baada ya kuandika makala yenye kichwa kisemacho: “Ukiwa na ndoto usipige kelele, kaa kimya,” katika Gazeti la JAMHURI, Toleo Na. 411 la Agosti 13-19, 2019 nimepongezwa na wasomaji kwa kunipigia simu wakiniambia kuwa makala hiyo…
Nje ya magereza wapo wanaoonewa
Hivi karibuni Rais John Magufuli kwa uwezo aliopewa na Katiba ya nchi aliwasikiliza wafungwa waliomo gerezani Butimba, Mwanza na kubaini kwamba wapo walioonewa na kuwekwa gerezani kwa njia za ukatili tu kama kukomolewa. Akaamuru waondolewe. Hiyo ni hali ya utu…
UJUMBE KUTOKA IKULU
HOTUBA YA MHE. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA MAZUNGUMZO NA WASHIRIKI WA MKUTANO WA JUKWAA LA UONGOZI AFRIKA, IKULU, DAR ES SALAAM, TAREHE 30 AGOSTI 2019 Ni heshima kubwa kwangu…
BURIANI KOMREDI IBRAHIM MOHAMED KADUMA
‘Kikitokea chama kama CCM ya Nyerere kitatawala milele’ Mwaka 2012 Gazeti la JAMHURI lilifanya mahojiano maalumu na mzee Ibrahim Kaduma nyumbani kwake Makongo Juu, Dar es Salaam. Tunaleta sehemu ya mahojiano hayo kama tulivyoyachapisha wakati huo. Mzee Kaduma alifariki…