Category: Makala
Tusilazimishwe kumshutumu Robert Gabriel Mugabe
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amefariki akiwa na umri wa miaka 95. Alisemwa na atasemwa sana, si kwa mema ila kwa mabaya. Nianze na mabaya yake. Aliongoza Zimbabwe kuanzia mwaka 1980 baada ya uhuru wa nchi hiyo akiwa amerithi uchumi…
Ukweli kesi ya Mzungu na Airbus yetu (2)
Toleo lililopita tuliishia aya isemayo: “Mahakama ilikubali hoja hii ya Wakili Erick na kumpa ushindi kwa hoja hii. Kumbuka huyu Erick ndiye anayetajwa kuongoza mchakato wa kuzuiwa kwa Airbus Afrika Kusini.” Sasa endelea… Kukamatwa ndege Baada ya maombi ya serikali kutupwa kama…
MAISHA NI MTIHANI (46)
Ukibadili maana ya maisha unabadili maisha yako Maana ya maisha ni mtihani. Ukiyapa maisha maana ya kuishi, utabadili maisha yako. Maisha ni kuishi. “Tunaishi mara moja, lakini mara moja ukiitendea haki inatosha,” alisema Joe E. Lewis. “Ukitaka kuaga dunia ukiwa…
Mafanikio katika akili yangu
Hiki ni kitabu ambacho kimesheheni matumaini, motisha pamoja na hamasa kwa vijana ambao waliona uthubutu katika maisha yao. Mwandishi ameamua kufikisha ujumbe kwa vijana ili kuwapa moyo na faraja, pia kitabu hiki kimezungumzia maisha halisi ya mwandishi wa kitabu hiki….
Bado machozi ya wanyonge ni mengi
Wiki kadhaa zilizopita Rais John Magufuli alitoa kauli nzuri yenye kuleta matumaini kwa waliopoteza au walioelekea kupoteza matumaini. Julai 18, mwaka huu, akiwa Kongwa mkoani Dodoma, alitamka maneno haya: “Mlinichagua kwa ajili ya watu wote, hasa wanyonge wanaopata shida. Siwezi nikatawala…
Mwana wa Afrika ametutoka
Kwa mara nyingine Bara la Afrika limeondokewa na mwanamapinduzi jasiri, mpiganaji na mtetezi wa haki na mali za Waafrika. Kiongozi shupavu na mkweli, aliyebeba uzalendo na mwenye msimamo katika hoja na maono yake. Ni kiboko cha mabeberu wa nchi za…