Category: Makala
MIAKA 60 NGORONGORO
NCAA yawezesha kina mama wajasiriamali Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeanzishwa kisheria kama eneo la matumizi mseto ya ardhi ikiwa na dhima tatu kuu. Dhima hizo ni Uhifadhi wa maliasili katika Eneo la Hifadhi; Kuendeleza wenyeji na shughuli zao…
Uvuvi bahari kuu bado tatizo Tanzania
Wakati serikali ikiwa na takwimu za samaki kwenye maziwa, hali ni tofauti kwenye eneo la bahari kuu ambako sensa haijafanyika ili kutambua rasilimali hizo ambazo tangu Tanzania ipate uhuru hazijawahi kuvunwa wala kutambuliwa kwa idadi halisi. Katika kikao kazi baina…
TPA: Mifumo ya kisasa imeharakisha huduma bandarini
Kutokana na umuhimu wa bandari katika nyanja za kiuchumi na kibiashara kwa Tanzania na nchi zinazotumia bandari za hapa nchini katika kuagiza na kusafirisha mizigo yao, Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imekuwa ikiboresha huduma zake kila wakati kuhakikisha…
Baba ulimi wangu ugandamane na taya zangu
Ndugu Rais, imani yangu ni nchi yangu kwanza! Tangu mwanzo wa nyakati hadi utimilifu wake mimi si lolote, si chochote, bali sauti ya mtu aliaye kutoka jangwani ikisema: “Watumikieni watu wa Mungu, wananchi wa nchi hii.” Naililia nchi yangu, nawalilia…
Wameumbuka, wataendelea kuumbuka!
Baada ya kupata Uhuru nchi nyingi za Afrika na Tanzania yetu ikiwamo, wapo wananchi hawakuamini wala kuthamini ule utawala wetu wa wazawa. Yapo bado mawazo ya uzungu-uzungu na tamaa ya wasomi kutambuliwa kama Wazungu. Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hakuchoka…
Huduma kwa Watanzania vijijini ni duni
Watanzania tunaoishi vijijini tuna wajibu wa kutetea maslahi yetu. La sivyo ni rahisi sana kusahaulika. Sababu kubwa ya mwito huu ni wingi wetu. Inakadiriwa kati ya asilimia 66 hadi 80 ya Watanzania wote tuko vijijini. Shida zetu zinaweza kuwa zinafanana…