JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

NINA‌ ‌NDOTO‌ ‌(39)‌

Mteja ni mfalme Wiki ya pili ya Oktoba huwa tunaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja. Yawezekana huwa unapokea ujumbe wa kukutakia heri katika wiki hiyo kutoka kwa kampuni mojawapo kubwa ambayo huwa unatumia huduma zake. Nilipokea ujumbe kutoka Vodacom uliosomeka,…

Sekondari ya Nainokanoka: Matunda ya NCAA

Jamii ya wafugaji wa Kimasai ni miongoni mwa jamii zilizo nyuma katika mambo mengi ya kimaendeleo, hasa elimu. Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) kwa kulitambua hilo, imeamua kuwekeza kwa nguvu kubwa kwenye elimu. Kutokana na jiografia ya…

Miaka 20 bila Mwalimu, tumefanya nini?

Tangu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa, aage dunia Oktoba 14, 1999, kila mwaka ifikapo kipindi hicho Watanzania tumekuwa tukiadhimisha kifo chake huku tukishuhudia maneno mengi kwenye vyombo vya habari na kwenye mihadhara na makongamano.  Lakini yatupasa tujiulize, kwa…

Ndugu Rais kumpuuza Mwalimu Nyerere inauma sana

Ndugu Rais, sikutaka kuandika lolote kwa kinachoitwa kumbukizi ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kila inapofika Oktoba 14, kila mwaka kwangu huwa ni siku ya kuomboleza na kulia sana. Hii ndiyo siku ya majonzi na simanzi kubwa Taifa…

Miaka 20 Bila Mwalimu Nyerere

‘Hii ilikuwa aibu kubwa sana’ Tukiwa tungali katika kumbukizi ya “Miaka 20 bila Nyerere”, tumekuwa tukikumbushwa mambo mengi juu ya Mwalimu. Gazeti moja limekuwa linatoa historia ya Mwalimu Nyerere katika nafasi mbalimbali. Gazeti moja limetoa kisa kile walichokiita “Nyerere apata msukosuko”. Ni msukosuko…

Acha rushwa itakupeleka motoni

Uislamu ni mfumo kamili wa maisha yote ya mwanaadamu uliopangika kimwili na kiroho. Mafunzo ya Uislamu yanamfikisha mwanaadamu katika kuyajua yatakayomfaa hapa duniani na kesho akhera. Uislamu umeyaharamisha kwa nguvu kubwa yale yenye kuleta madhara ya kiroho na kimwili kwa…