JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Dar tunahitaji mapafu ya uhakika tupumue vizuri

Awali ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu, Muumba wa Mbingu na Dunia na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Kipekee alituumba sisi wanadamu tumiliki na kuvitawala vyote: majini, nchi kavu na angani. Ndiyo maana baadhi ya mataifa yenye nguvu kiuchumi yanathubutu kwenda kuchunguza…

Dini ya Uislamu ni tabia njema

Umepata kujiuliza vipi utamtambua Muislamu anayeutekeleza Uislamu? Unamtambua Muislamu kwa kuvaa kanzu na kofia? Yumkini, lakini kuvaa kanzu na kofia si sifa bainifu ya kumtambua Muislamu kwa kuwa kanzu na kofia ni vazi tu lenye asili ya jamii mbalimbali kwa…

Bandari: Rais Magufuli ameweka historia (2)

Novemba 5, mwaka huu Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli inatimiza miaka minne madarakani. Katika kipindi hicho kifupi, serikali imefanya mabadiliko makubwa katika mfumo wa uendeshaji wa bandari za Tanzania na imeleta maendeleo makubwa hadi…

Bei ya pamba yawakatisha tamaa wakulima Simiyu

Wakulima wa pamba wameonya huenda zao hilo likatoweka iwapo serikali haitaacha kupanga bei yake isiyozingatia uhalisia na vigezo vya soko la dunia. Wamesema uingiliaji huo wa bei unawaongezea umaskini, kwani katika msimu unaoelekea ukingoni kwa sasa, wamelazimika kuuza pamba yao…

Ndugu Rais malango yako yabarikiwe

Ndugu Rais, kwetu tunaamini kuwa ukizushiwa kifo au hata ugonjwa tu, unatabiriwa maisha marefu. Imani hiyo kwetu bado ipo.  Hivyo, kusema fulani kafa au ni mgonjwa hatari, wakati si kweli, yalikuwa ni maneno yakutia faraja na matumaini kwa anayezushiwa hayo….

Leo ‘Tanzania’ imetimiza miaka 55

Jina la Tanzania leo limetimiza miaka 55. Kabla ya tarehe 29 Oktoba 2019, Tanzania ilijulikana kama Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Ni mwanafunzi wa miaka 18 wakati huo, Mohammed Iqbal Dar, aliyebuni jina hilo katika shindano la kubuni…