Category: Makala
Watanzania tuwe chachu ya maendeleo yetu
Binadamu huogozwa na hulka, dhamiri na nafsi aliyonayo. Hulka ni tabia ya kujifunza kutoka katika jamaa na jamii yake anamoishi. Dhamiri na akili vinamwezesha kutofautisha mambo ya kutenda na kutotendwa na nafsi inampatia hali ya kujijua kuwa ni binadamu na…
Yah: Tukubali matokeo, sasa tunanyooka
Kuna watu wana msemo kuwa bahati mbaya mambo siyo, lakini sisi wahenga tunaamini hakuna bahati mbaya, bali kuna bahati tu na isivyo bahati. Sasa kwa bahati mazingira ya maisha yetu yanatufanya tukubali matokeo. Ukweli ni kwamba tumeanza kuyakubali na kunyooka…
Jamii ikatae uzinifu, ikuze maadili
Kijana mmoja alimwendea Mtume Muhammad (Allaah Amrehemu na Ampe Amani) akamwambia: “Ewe Mtume wa Allaah, nipe idhini ya kuzini.” Watu wakamzunguka na kuanza kumuonya. Vipi anamuomba Mtume wa Mwenyezi Mungu ruhusa ya kufanya maasi? Mtume akawaambia: Hebu mleteni karibu yangu. Yule kijana…
Mawaziri na ‘majipu kwapani’
Mpita Njia (MN) anakumbuka alipokuwa mdogo mama yake alimwambia kuwa ukitaka kujua tabia halisi ya mtu yeyote mpe kimoja, viwili au vyote kati ya hivi: pesa, pombe au madaraka. Kwa umri alionao Mpita Njia, hahitaji ushuhuda wa maneno hayo ya…
NINA NDOTO (40)
Ndoto inahitaji uthubutu “Ili uwe mtu ambaye hujawahi kuwa lazima ufanye mambo ambayo hujawahi kuyafanya,” anasema mhamasishaji Les Brown. Kufanya mambo ambayo hujawahi kufanya ni kuthubutu. Kamusi ya Kiswahi Sanifu (TUKI) imetafsiri neno “thubutu” kwamba ni kuwa na ujasiri wa…
Ana kwa ana na Rais Nyerere (3)
Ana kwa ana ni tafsiri ya mahojiano baina ya Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius K. Nyerere, na mwandishi wa gazeti, David Martin. Mahojiano haya yalichapishwa katika Gazeti la Kiingereza, New Internationalist, toleo la Mei, 1973. David Martin ni…